Utata wa G55 CHADEMA

Utata wa G55 CHADEMA

Hakukuwa na jinsi ya kuleta maoni mbadala. Unahitaji kichwa kilochotulia kukubali maoni tofauti na yako. Njia waliyotumia ni njia sahihi kwa mazingira yaliyokuwepo. Issue imekuzwa na uongozi kuwa kutowasikiliza.

Hata sasa wanaweza kuita kikao kingine cha watia nia, kamati kuu, baraza kuu,au mkutano mkuu kuuliza tena kwa mazingira ya sasa, na mustakabali na hatima ya Chadema kama chama cha siasa tufanyaje? Tuchukue uamuzi gani, wapige kura kuamua.
Waitishe kikao kingine kwa gharama za nani? Team Mbowe kubalini mmeshindwa kihalali, mambo ya kuendeleza nongwa ili mbembelezwe hayana maana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom