Utata wa G55 CHADEMA

Utata wa G55 CHADEMA

Elias Msuya

Senior Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
173
Reaction score
671
chadema-g55-pic-data.jpg

Tangu kundi la G55 linalohusisha makada wa Chadema wanaotaka chama hicho kishiriki uchaguzi, kumekuwa na maswali mengi kuhusu malengo ya kundi hilo.

Kundi hilo linakuja na msimamo wa kutaka kushiriki uchaguzi kinyume na kampeni ya No reforms No election (Hakuna mmabadiliko, hakuna uchaguzi) iliyopitishwa na vikao vya chama hicho na sasa inaenezwa nchini kote.

Kundi hilo limekutana na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Jumapili Aprili 6, 2025 na kuweka wazi maoni yao kwa chama.

Baada ya kikao hicho, msemaji wa G55, John Mrema akafanya mahojiano na Jamii Forums.

Endelea…

a1cf0814-5c7f-49f9-829f-f9a0745ce7ab.jpg

Swali: Hii kampeni ya No reforms no election ilianza tangu wakati Freeman Mbowe akiwa madarakani, mbona hamkuwahi kuipinga?

Jibu:
Ni kweli baada ya uchaguzi wa mwaka 2020, tulifanya kikao cha retreat (kujipanga) kilichofanyika Kaunti ya Makuweni Nairobi Kenya, tulikaa hapo, siku saba na wajumbe woote wa kamati kuu, Mheshimiwa Lissu alikuwepo wakati huo alikuwa Makamu Mwenyekiti alitoka Ubeligiji akaja.

Tulichomaanisha wakati ule, hakuna mahali tulisema No reforms no election ni kuzuia uchaguzi, tulimaanisha kukusanya nguvu za wadau, taasisi za dini, asasi za kiraia, tubebe hilo wimbi wakati tunashinisha uandishi wa Katiba mpya.

Swali: Ni kama unapiga chenga tu, maana hapo mnasema, Hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi?

Jibu:
Hatujawahi kumaanisha kwamba hakuna uchaguzi ni kuzuia uchaguzi, kwa sababu tunajua gharama ya kuzuia uchaguzi ni nini. Kwa hiyo leo tunaposema tunazuia uchaguzi, tunauzuaiaje wakati tukko nje ya uchaguzi?

Ni Dhahiri, vyama vitakavyoingia kwenye uchaguzi vitapewa ruhusa ya kushiriki kwenye kamppeni, kuwekja mawakala, wagombea, sisi tutakuwa nje tutazuiaje huo uchaguzi? Tuongie ndani tuzuie tukiwa ndani. Kenya kina Raila Odinga, walijua kwamba wataumizwa watauawa, lakini walisonga mbele wakaleta mabadiliko.

Raila na nguvu yote aliyonayo hajawahi kusema atazuia uchaguzi, anaingia anapambana na mifumo hiyo hiyo Zambia Hichilema alipambana na rais aliyekuwa madarakani. Angesema leo hashiriki uchaguzi, asingekuwa rais. Ghana New Patriotic Party (NPP) imendolewa na NDC (National Democratic Congress), wangesema hakuna uchaguzi wangekuwa wai leo.

Tumeona hapop Kusini mwa Afrika, mpinzani ameshinda, Msumbiji hapo watu wameingia barabarani, wameshiriki.

Swali: Kwa hiyo unakiri kwamba kampeni hii ilikuwa haijaeleweka wakati mnaiandaa?

Jibu:
Nimesema hatujawahi kusema tunazuia uchaguzi, dhana na andiko lake lipo, kuhakikisha kwamba tunakutana makundi yote, viongzoi wa dini na asasi za kiraia.

Hii dhana ya kuzuia uchaguzi tunaona utekelezaji wake hauonekani, hata ukitafuta kwa tochi, hatuoni unaendaje kuzuia uchaguzi kwa nchi zetu za Afrika.
g2.jpg

Swali: Inaonyesha kundi hili la G55 linaundwa na makada wa Chadema waliokuwa wakimuunga mkono Freeman Mbowe katika uchaguzi na baada ya mgombea huyo kushindwa, sasa mmeamua kupinga kila kinachoelekezwa na uongozi mpya wa chama?

Jibu: Kwanza niseme tu, wakati wa uchaguzi wa ndani ya chama kulikuwa na kampeni, ziliendeshwa kwa usawa na kila mtu akamuunga mkono mtu anayemtaka, lakini wakati huu tuliopo sasa, uchaguzi wa ndabiu ya chama umeisha na sasa kinachofanyika ni kundi linalounganisha wanachama na viongozi wanaotaka uchaguzi, kwa sababu hatuoni mkakati wala muujiza wa kuzuia uchaguzi kwa mazingira ya sasa kama Taifa.

Kwa hiyo dhana ya kuzuia uchaguzi tunaona haitekelezeki, haiwezekani na hatuwezi kuifanikisha kwa mazingira ya sasa yaliopo kwa nchi yetu.

Kwa hiyo kundi hili lina nia njema ya kukushauri chama kushiriki uchaguzi kwa sababu hatuoni uwezo wa sisi kuzuia huo uchaguzi. Hicho hatukuioni.

Swali: Nimeuliza hivyo kwa sababu naona pia mnapinga kampeni ya uchangishaji wa fedha za chama maarufu Tone Tone. Kwa nini?

Jibu: Tone tone ilikuwepo kwenye program za chama, uongozi mpya umekuja kuiendeleza tu, sisi tuliita Tona Tona. Tulishai design, chini ya Reginald Munisi aliyekuwa Mkurugenzi wa Digital. Ilikuwepo, wao walikuta ilikuwepo. Wao wamebadili tu wakaweka Tone Tone.

Ipo ndani ya ofisi ya Katibu Mkuu, imeshawekwa kwenye Chadema App, sio kwamba wameianzisha. Wameikuta.

Swali: Sasa kwa nini mnaipinga?

Jibu:
Sio kwamba tunaipinga, nilichosema ni kwamba, viongozi wanachama wanachangia wakiwa na sababu. Ndio maana viongozi walipowekwa gerezani mwaka 2018, ndani ya saa 48 tuliweza kuchangisha Sh350 milioni, kwa sababu wote waliona kuna sababu ya kuwatoa viongozi gerezani.

Leo ukiwaambia tunakwenda kuzuia uchaguzi, halafu unawaambia harakati za chama, wanachangia ili iweje? Kwa hiyo wakati tunataka wachangia, lazima tuwape sababu. Ukiwaambia unakwenda kuzuia uchaguzi, wao hawataki, sasa mnachangia ili mfanye nini?

Swali: Wamesema wanachangia kwa sababu ruzuku haitoishi na wamesema kama watachangia vizuri wanaweza kukiendesha chama bila kutegemea ruzuku. Hilo nalo mnapinga?

Jibu:
Hatupingi dhana ya wanachama kuchangia, kwanza huo ni wajibu wa mwanachama, ila sisi tunasema ni lazima viongozi wawape sababu wanachama na wananchi.

Swali: Si ndio sababu hiyo ya kuendesha chama?

Jibu:
Ndio, lakini kama chama hakishiriki uchaguzi maana yake ule uhalali wa kisiasa, unapepea. Kwa sababu chama kinaposema kinakwenda kuzuia uchaguzi, ieleweke sio kazi lelemama. Ni kazi ambayo mnatangaza kwamba, sisi kama chama tunapanga kwenda kupamnana na Dola.

Sasa hivi Dola linajiandaa kutudhibiti. Sasa wanachama wetu sio kwamba, hawaoni, wanaona na wanaelewa.

Kwa hiyo sisi tunawashauri viongozi wafikirie na waelewe kwamba huu uamuzi wa kuzuia uchaguzi, ni rahisi Zaidi kuzuia uchaguzi ukiwa ndani ya uchaguzi na niseme tu, kesho kutwa baada ya Bunge kuvunjwa Juni, vyama vyote vya siasa, vinajielekeza kwenye election mood (mtazanmo wa uchaguzi).

Chadema tukiendelea na huu msimamo wa kuzuia uchaguzi, hatutafanya shughuli yoyote ya siasa, kwa sababu kwenye kampeni hatutakuwepo, maana hatutashiriki uchaguzi, kuanzia Agosti mpaka Oktoba tutakuwa kimya, maana yake hatutakuwepo.

Kwa hiyo sisi tunaona hiyo hatari ya chama chetu ambacho tumekijenga kupitia chaguzi na chaguzi ndogo. Tuliposhinda uchaguzi mdogo wa Tarime tukaanzisha Operesheni Sangara tukakinyanyua chama, tulipoenda Arumeru Mashariki 2012 tukashinda, chama kinyanyuka kwa nguvu kubwa tena tukaanzisha M4C (Movement for Change), kwa hiyo tunazungumza tunachokielewa, kwamba chama kisiposhiriki uchaguzi kinajichimbia kaburi, tutasubiri niaka mingine 30 kujenga chama kifikie ngazi tulipo leo.

Swali: Tangu wakati kampeni ya No Reforms No Election ilipoanza, mlitaka iweje?

Jibu:
Ukimsikiliza wakati aliyekuwa Mwenyekiti Freeman Mbowe alipozungumza Desemba 11, 2024, alisema ikifika wakati wa uchaguzi na hakuna mabadiliko, chama kitafanya uamuzi sahihi.

Swali: Uamuzi gani?

Jibu:
Huo ni uamuzi wa vikao, kwa hiuo warudi kwenye vikao wahsauriane. Kama tumekata tamaa ya mabadiliko warudi kwenye vikao. Lakini mimi naona hawajakata tamaa ya mabadiliko. Juzi Mwenyekiti wetu (Tundu Lissu) ambaye ni mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzanoia (TCD), aliongoza kikao na akasema walikubaliana halafu maazimio yao watayaanduika wampelekee Mheshimiwa Rais.

Maana yake kuna jitihada bado zinaendelea. TCD wanachama wake ni pamoja na CCM na alikuwepo Makamu Mwenyekiti wa chama hicho (Bara), Stephen Wasira. Sasa mwenyejkiti wetu amesema wamekubaliana maazimio yao halafu wataalndika wampelekee Mheshimiwa Rais. Inawezekana kuna vitu wamekuabliana kuhusu hayo mabadiliko.

Ndio maana tunataka wakati jitihada hizo zikiendelea, chama nacho kiendelee kujiandaa, kwa sababu hatimaye mnaweza kukuta mabadiliko yametokea halafu hamjajiandaa, hivyo tunatahadharisha kwamba twende na yote mawili.

Swali: Wiki iliyopita viongozi wa Chadema waliitisha makada wanaotaka kutia nia ili wazungumze, ninyi mbona hakufika?

Jibu:
Maoni yetu tuliyaandika Katibu Mkuu aliyapokea na Mwenyekiti Lissu akiwa pale, alijibu baadhi ya maoni yetu, ndio maana leo tukaamua tuyaweke yote hadharani ili watu wajue tulipeleka nini.

Kwa sababu wanaanzisha dhana kwamba hawa ni kundi la waasi, kwa hiyo tunataka wajue tulichopeleka nini, je ni uasi au ni mawazo mbadala.

Ni kweli hatukwenda pale kwa sababu ya kauli za mwenyekiti, makamu mwenyekiti, kauli za Godbless Lema zilikuwa zinatutia hofu. Mtu anasema kama mna mawazo mbadala ondokeni kwenye chama, ninyi ni vibaraka wa CCM. Sasa unatuita sisi ni vibaraka wa CCM halafu unatuita tuje tufanye nini? Tuje tushauriane nini wakati umeshatupa majina mabaya?

Swali: Sasa kama meshapewa majina mabaya, kwa nini tena mmepeleka mapni kwa maandishi?

Jibu:
Sisi tuliona pale aliteleza na ndio maana tumeandika tukiamini kwamba aliteleza, kwamba siku nyingine usije ukaita watu halafu kabla hawajaja ukawa umeshawapa majina. Ndio maana tuliandika ili zibaki kwenye rekodi za chama na tulisaini mmoja mmoja, hazikusainiwa na mtu mmoja akaghushi saini.

Swali: Kama ilikuw ani maoni tu, kwa nini mmeanzisha kundi nje ya chama ambalo halitambuliki kwa katiba ya chama?

Jibu:
Chama kina makundi mengi sogozi, nikikuonyesha kwenye simu yangu. Yapo ya Chadema Family na wanachangiana fedha. Hata chama chenyewe, wametupa petition wagombea tukasainishe wananchi milioni 15. Kwa hiyo ni utaratibu tu wa chama.

Kwa hiyo, chama kinayatambua hayo makundi ya Tehama na ndio maana taarifa za chama tunaletewa kwenye makundi, taarifa za katibu mkuu zinaletwa. Kwa hiyo sisi kuanzisha kundi sio kosa, yapo Zaidi ya 1,000.

Swali: Chama kikikataa maoni yenu mtachukua uamuzi gani?

Jibu:
Tutaendelea kubaki Chadema, sisi ni wanachama. Chama kikikataa ushauri tutapima.

Swali: Au mtakwenda kugombea?

Jibu:
Suala la kwenda kugombea, sisi bado ni watia nia, michakato ya kugombea bado, ila kutia nia tunaendelea kama walivyo watia nia wengine ambao bado wako ya chama. Hata wale waliokwenda makao makuu bado ni watia nia.

Swali: G55 ina ugomvi gani na Maria Sarungi?

Jibu:
Sisi tumesema tunachoona kwamba anaingilia mamlaka za chama. Anapoandika kwamba chama kisema aliyeitisha hicho kikao ni nani wakati viongozi wakuu wako field, tunataka atuletee majina ya hao wanaotaka ubunge. Yeeni Katibu mkuu ameitisha kikao cha wagombea wake, yeye anahoji kama nani?

Tunajua uhusiano wake na baadhi ya viongozi, tunajua harakati anazofanya ndani ya chama, sisi sio wajinga. Tulikuwa kwenye chama na bado tuko kwenye chama. Tunachokitahadharisha chama, kisiruhusu makundi ya nje ya chama kuanza kukiendesha chama kwa rimoti.
 
Maneno ya mfa maji haishi kutapatapa.
Huyu kapoteza uelekeo wa maisha baada ya kitumbua chake kuingia mchanga kwa wakati ambao alikua hajajipanga. Akwende kureeeeeeee
 
View attachment 3295650

Tangu kundi la G55 linalohusisha makada wa Chadema wanaotaka chama hicho kishiriki uchaguzi, kumekuwa na maswali mengi kuhusu malengo ya kundi hilo.

Kundi hilo linakuja na msimamo wa kutaka kushiriki uchaguzi kinyume na kampeni ya No reforms No election (Hakuna mmabadiliko, hakuna uchaguzi) iliyopitishwa na vikao vya chama hicho na sasa inaenezwa nchini kote.

Kundi hilo limekutana na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Jumapili Aprili 6, 2025 na kuweka wazi maoni yao kwa chama.

Baada ya kikao hicho, msemaji wa G55, John Mrema akafanya mahojiano na Jamii Forums.

Endelea…

View attachment 3295653

View attachment 3295651

1. Mimi sioni tatizo la watu kubadirika kimawazi, kimtazamo, kufikiri etc etc...., inatememea muda, mazingira ya wakati uliopo na factors zingine ambazo zina necessitate kubadili mbinu za mapambano! MAYBE TIMING AND MODE OF INTRODUCING THIS NDIYO INAWEZA KULETA UKAKASI..WHY NOT INTRNALLY? WHY PRESS CONFERENCE....

Pili: Unadhani Lisu atazuia uchaguzi? hawezi akithubutu wanammaliza for good! Kuna mtanzania ataingia kwenye kituo cha kupigia kura kusimama kwa fujo kuwa hakuna kufaya uchaguzi happa?

Ni rahisi at mgombea level ku mobilize watu wako kwenye uchaguzi wa kata wakazuia uchaguzi kuliko hii dhana ya watnzania as such kuingia barabarani siku ya uchaguzi.... Erythrocyte
 
Hakukuwa na jinsi ya kuleta maoni mbadala. Unahitaji kichwa kilochotulia kukubali maoni tofauti na yako. Njia waliyotumia ni njia sahihi kwa mazingira yaliyokuwepo. Issue imekuzwa na uongozi kuwa kutowasikiliza.

Hata sasa wanaweza kuita kikao kingine cha watia nia, kamati kuu, baraza kuu,au mkutano mkuu kuuliza tena kwa mazingira ya sasa, na mustakabali na hatima ya Chadema kama chama cha siasa tufanyaje? Tuchukue uamuzi gani, wapige kura kuamua.
 
asante sana. That is my thinking......, strategic thinking and the strategies developed are inherently dynamic, adapting to changing needs and the resources available at a given time. This flexibility is crucial for effective problem-solving and achieving desired outcomes.
 
1. Mimi sioni tatizo la watu kubadirika kimawazi, kimtazamo, kufikiri etc etc...., inatememea muda, mazingira ya wakati uliopo na factors zingine ambazo zina necessitate kubadili mbinu za mapambano! MAYBE TIMING AND MODE OF INTRODUCING THIS NDIYO INAWEZA KULETA UKAKASI..WHY NOT INTRNALLY? WHY PRESS CONFERENCE....

Pili: Unadhani Lisu atazuia uchaguzi? hawezi akithubutu wanammaliza for good! Kuna mtanzania ataingia kwenye kituo cha kupigia kura kusimama kwa fujo kuwa hakuna kufaya uchaguzi happa?

Ni rahisi at mgombea level ku mobilize watu wako kwenye uchaguzi wa kata wakazuia uchaguzi kuliko hii dhana ya watnzania as such kuingia barabarani siku ya uchaguzi.... Erythrocyte
Bado sijaelewa John Mrema anachotaka, Hii ni kwa sababu Chadema haikusema itasusia Uchaguzi na ndio maana iliita watia nia na kujadili nao, hii maana yake itakuwa na Wagombea lakini kama hakutakuwa na Reforms itapambana kuzuia uchaguzi usifanyike kwa udi na uvumba.

Sasa haraka ya Mrema inatoka wapi? Halafu kingine ambacho tunakosea ni kumsingizia Lissu hili jambo, wakati jambo lenyewe ni la Chadema na lilipitishwa wakati Mrema ni kiongozi wa juu kabisa, inakuwaje leo alete haya anayoleta?

Ndio maana inadhaniwa amelipwa, halafu katika mazingira kama ya 2020 na hata 2024 unawezaje kuingia kwenye uchaguzi huu kibwege?

Angalia jinsi watu walivyouliwa 2020 , kule Tunduma viongozi wote wa Chadema akiwemo Mstahiki Meya Mwafongo walifungwa jela kwa kesi za uongo kwa sababu za Uchaguzi, Kwetu Kyela Kuna kijana wetu alifungwa kwa kesi ya uongo ya kuchoma nyumba ya mwanaccm. Mrema haya yote hayajui?
 
Exactly neno strategic thinking kimsingi linamaanisha kuangalia mbele matatizo na fursa gani utakumbana nazo kwa kufanya maamuzi tofauti.

Unaangalia nikifanya uamuzi A, B,C, D madhara na faida yake yatakuwaje kesho, miezi sita, mwakani, Nitaunganisha au kuua chama, nguvu yangu kama mwenyekiti itaongezeka au kupungua.

Unaangalia scenarios zote halafu unakuja na majibu. Hukurupuki au kutumia hisia zaidi ya ukweli uliopo mbele yako.

Tanzania inahitaji upinzani, iko tayari kuwapa kura wapinzani kura za kutosha. Tatizo hakuna upinzani thabiti kwa sasa. Lissu bado ana nafasi kuwa huo upinzani thabiti.
 
Huyo mrema anaonyesha ni mlevi Sanaa.
Walevi huwa wanasema ukweli mara nyingi.

Mrema anawakilisha maoni ya wadau wengi, muhimu, inawezekana pia anakuwa motivated na mgombea wake kushindwa. Lakini hoja yake, ina mashiko, inazungumzia hatina ya CDM kama chama, kuendelea kuwa na ushawishi, kuungwa mkono.
 
Kwani 2020 walipata mbunge mmoja + COVID-19.

Wanacho pigania chadema ya Lissu ni maoni ya watanzania WENGI na hata partition ya HECHE itapata sign za watanzania Zaid ya 15m+

Chadema haifi na haito kufa na tutaona kitakacho tokea...Ni ujinga pro max kukubali kuingia kwenye UCHAGUZI ikiwa GOLI LA TIMU PINZANI NI kubwa (CCM)

EITHER KWA SASA KUNA VIJANA WENGI SANA WANA ELIMU ZAO NA WAPO TU MTAANI NA HAWANA CHA KUPOTEZA EXACTLY 💯 HAWANA CHA KUPOTEZA CCM IWE INASOMA ALAMA ZA NYAKATI.
 
Exactly neno strategic thinking kimsingi linamaanisha kuangalia mbele matatizo na fursa gani utakumbana nazo kwa kufanya maamuzi tofauti.

Unaangalia nikifanya uamuzi A, B,C, D madhara na faida yake yatakuwaje kesho, miezi sita, mwakani, Nitaunganisha au kuua chama, nguvu yangu kama mwenyekiti itaongezeka au kupungua.

Unaangalia scenarios zote halafu unakuja na majibu. Hukurupuki au kutumia hisia zaidi ya ukweli uliopo mbele yako.

Tanzania inahitaji upinzani, iko tayari kuwapa kura wapinzani kura za kutosha. Tatizo hakuna upinzani thabiti kwa sasa. Lissu bado ana nafasi kuwa huo upinzani thabiti.
Fine, nakubaliana na wewe. swali langu ni hili: With the current Tanzania political environment led by CCM, is NR/NE philosophy practicable? particularly when it involves mobilising mass protest? Do you think these my fellow Tanzanians are ready to sacrifice their life to achieve the mission of NR/NE?
 
1. Mimi sioni tatizo la watu kubadirika kimawazi, kimtazamo, kufikiri etc etc...., inatememea muda, mazingira ya wakati uliopo na factors zingine ambazo zina necessitate kubadili mbinu za mapambano! MAYBE TIMING AND MODE OF INTRODUCING THIS NDIYO INAWEZA KULETA UKAKASI..WHY NOT INTRNALLY? WHY PRESS CONFERENCE....

Pili: Unadhani Lisu atazuia uchaguzi? hawezi akithubutu wanammaliza for good! Kuna mtanzania ataingia kwenye kituo cha kupigia kura kusimama kwa fujo kuwa hakuna kufaya uchaguzi happa?

Ni rahisi at mgombea level ku mobilize watu wako kwenye uchaguzi wa kata wakazuia uchaguzi kuliko hii dhana ya watnzania as such kuingia barabarani siku ya uchaguzi.... Erythrocyte
Mjinga
 
Bado sijaelewa John Mrema anachotaka, Hii ni kwa sababu Chadema haikusema itasusia Uchaguzi na ndio maana iliita watia nia na kujadili nao, hii maana yake itakuwa na Wagombea lakini kama hakutakuwa na Reforms itapambana kuzuia uchaguzi usifanyike kwa udi na uvumba.

Sasa haraka ya Mrema inatoka wapi? Halafu kingine ambacho tunakosea ni kumsingizia Lissu hili jambo, wakati jambo lenyewe ni la Chadema na lilipitishwa wakati Mrema ni kiongozi wa juu kabisa, inakuwaje leo alete haya anayoleta?

Ndio maana inadhaniwa amelipwa, halafu katika mazingira kama ya 2020 na hata 2024 unawezaje kuingia kwenye uchaguzi huu kibwege?

Angalia jinsi watu walivyouliwa 2020 , kule Tunduma viongozi wote wa Chadema akiwemo Mstahiki Meya Mwafongo walifungwa jela kwa kesi za uongo kwa sababu za Uchaguzi, Kwetu Kyela Kuna kijana wetu alifungwa kwa kesi ya uongo ya kuchoma nyumba ya mwanaccm. Mrema haya yote hayajui?

kimsingi huwa ninakupata boss!
 
1. Mimi sioni tatizo la watu kubadirika kimawazi, kimtazamo, kufikiri etc etc...., inatememea muda, mazingira ya wakati uliopo na factors zingine ambazo zina necessitate kubadili mbinu za mapambano! MAYBE TIMING AND MODE OF INTRODUCING THIS NDIYO INAWEZA KULETA UKAKASI..WHY NOT INTRNALLY? WHY PRESS CONFERENCE....

Pili: Unadhani Lisu atazuia uchaguzi? hawezi akithubutu wanammaliza for good! Kuna mtanzania ataingia kwenye kituo cha kupigia kura kusimama kwa fujo kuwa hakuna kufaya uchaguzi happa?

Ni rahisi at mgombea level ku mobilize watu wako kwenye uchaguzi wa kata wakazuia uchaguzi kuliko hii dhana ya watnzania as such kuingia barabarani siku ya uchaguzi.... Erythrocyte
"akithubutu wanammaliza for good" hii kauli yako inaonyesha kabisa upo upande gani na unajificha kwenye kichaka cha hawa G55.

Uzuri ni kuwa, Mungu aliyemlinda wakati ule ndio huyu huyu atamuongoza na kumlinda zaidi. Acha uchawa
 
View attachment 3295650

Tangu kundi la G55 linalohusisha makada wa Chadema wanaotaka chama hicho kishiriki uchaguzi, kumekuwa na maswali mengi kuhusu malengo ya kundi hilo.

Kundi hilo linakuja na msimamo wa kutaka kushiriki uchaguzi kinyume na kampeni ya No reforms No election (Hakuna mmabadiliko, hakuna uchaguzi) iliyopitishwa na vikao vya chama hicho na sasa inaenezwa nchini kote.

Kundi hilo limekutana na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Jumapili Aprili 6, 2025 na kuweka wazi maoni yao kwa chama.

Baada ya kikao hicho, msemaji wa G55, John Mrema akafanya mahojiano na Jamii Forums.

Endelea…

View attachment 3295653
Swali: Hii kampeni ya No reforms no election ilianza tangu wakati Freeman Mbowe akiwa madarakani, mbona hamkuwahi kuipinga?

Jibu:
Ni kweli baada ya uchaguzi wa mwaka 2020, tulifanya kikao cha retreat (kujipanga) kilichofanyika Kaunti ya Makuweni Nairobi Kenya, tulikaa hapo, siku saba na wajumbe woote wa kamati kuu, Mheshimiwa Lissu alikuwepo wakati huo alikuwa Makamu Mwenyekiti alitoka Ubeligiji akaja.

Tulichomaanisha wakati ule, hakuna mahali tulisema No reforms no election ni kuzuia uchaguzi, tulimaanisha kukusanya nguvu za wadau, taasisi za dini, asasi za kiraia, tubebe hilo wimbi wakati tunashinisha uandishi wa Katiba mpya.

Swali: Ni kama unapiga chenga tu, maana hapo mnasema, Hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi?

Jibu:
Hatujawahi kumaanisha kwamba hakuna uchaguzi ni kuzuia uchaguzi, kwa sababu tunajua gharama ya kuzuia uchaguzi ni nini. Kwa hiyo leo tunaposema tunazuia uchaguzi, tunauzuaiaje wakati tukko nje ya uchaguzi?

Ni Dhahiri, vyama vitakavyoingia kwenye uchaguzi vitapewa ruhusa ya kushiriki kwenye kamppeni, kuwekja mawakala, wagombea, sisi tutakuwa nje tutazuiaje huo uchaguzi? Tuongie ndani tuzuie tukiwa ndani. Kenya kina Raila Odinga, walijua kwamba wataumizwa watauawa, lakini walisonga mbele wakaleta mabadiliko.

Raila na nguvu yote aliyonayo hajawahi kusema atazuia uchaguzi, anaingia anapambana na mifumo hiyo hiyo Zambia Hichilema alipambana na rais aliyekuwa madarakani. Angesema leo hashiriki uchaguzi, asingekuwa rais. Ghana New Patriotic Party (NPP) imendolewa na NDC (National Democratic Congress), wangesema hakuna uchaguzi wangekuwa wai leo.

Tumeona hapop Kusini mwa Afrika, mpinzani ameshinda, Msumbiji hapo watu wameingia barabarani, wameshiriki.

Swali: Kwa hiyo unakiri kwamba kampeni hii ilikuwa haijaeleweka wakati mnaiandaa?

Jibu:
Nimesema hatujawahi kusema tunazuia uchaguzi, dhana na andiko lake lipo, kuhakikisha kwamba tunakutana makundi yote, viongzoi wa dini na asasi za kiraia.

Hii dhana ya kuzuia uchaguzi tunaona utekelezaji wake hauonekani, hata ukitafuta kwa tochi, hatuoni unaendaje kuzuia uchaguzi kwa nchi zetu za Afrika.
View attachment 3295651

Swali: Inaonyesha kundi hili la G55 linaundwa na makada wa Chadema waliokuwa wakimuunga mkono Freeman Mbowe katika uchaguzi na baada ya mgombea huyo kushindwa, sasa mmeamua kupinga kila kinachoelekezwa na uongozi mpya wa chama?

Jibu: Kwanza niseme tu, wakati wa uchaguzi wa ndani ya chama kulikuwa na kampeni, ziliendeshwa kwa usawa na kila mtu akamuunga mkono mtu anayemtaka, lakini wakati huu tuliopo sasa, uchaguzi wa ndabiu ya chama umeisha na sasa kinachofanyika ni kundi linalounganisha wanachama na viongozi wanaotaka uchaguzi, kwa sababu hatuoni mkakati wala muujiza wa kuzuia uchaguzi kwa mazingira ya sasa kama Taifa.

Kwa hiyo dhana ya kuzuia uchaguzi tunaona haitekelezeki, haiwezekani na hatuwezi kuifanikisha kwa mazingira ya sasa yaliopo kwa nchi yetu.

Kwa hiyo kundi hili lina nia njema ya kukushauri chama kushiriki uchaguzi kwa sababu hatuoni uwezo wa sisi kuzuia huo uchaguzi. Hicho hatukuioni.

Swali: Nimeuliza hivyo kwa sababu naona pia mnapinga kampeni ya uchangishaji wa fedha za chama maarufu Tone Tone. Kwa nini?

Jibu: Tone tone ilikuwepo kwenye program za chama, uongozi mpya umekuja kuiendeleza tu, sisi tuliita Tona Tona. Tulishai design, chini ya Reginald Munisi aliyekuwa Mkurugenzi wa Digital. Ilikuwepo, wao walikuta ilikuwepo. Wao wamebadili tu wakaweka Tone Tone.

Ipo ndani ya ofisi ya Katibu Mkuu, imeshawekwa kwenye Chadema App, sio kwamba wameianzisha. Wameikuta.

Swali: Sasa kwa nini mnaipinga?

Jibu:
Sio kwamba tunaipinga, nilichosema ni kwamba, viongozi wanachama wanachangia wakiwa na sababu. Ndio maana viongozi walipowekwa gerezani mwaka 2018, ndani ya saa 48 tuliweza kuchangisha Sh350 milioni, kwa sababu wote waliona kuna sababu ya kuwatoa viongozi gerezani.

Leo ukiwaambia tunakwenda kuzuia uchaguzi, halafu unawaambia harakati za chama, wanachangia ili iweje? Kwa hiyo wakati tunataka wachangia, lazima tuwape sababu. Ukiwaambia unakwenda kuzuia uchaguzi, wao hawataki, sasa mnachangia ili mfanye nini?

Swali: Wamesema wanachangia kwa sababu ruzuku haitoishi na wamesema kama watachangia vizuri wanaweza kukiendesha chama bila kutegemea ruzuku. Hilo nalo mnapinga?

Jibu:
Hatupingi dhana ya wanachama kuchangia, kwanza huo ni wajibu wa mwanachama, ila sisi tunasema ni lazima viongozi wawape sababu wanachama na wananchi.

Swali: Si ndio sababu hiyo ya kuendesha chama?

Jibu:
Ndio, lakini kama chama hakishiriki uchaguzi maana yake ule uhalali wa kisiasa, unapepea. Kwa sababu chama kinaposema kinakwenda kuzuia uchaguzi, ieleweke sio kazi lelemama. Ni kazi ambayo mnatangaza kwamba, sisi kama chama tunapanga kwenda kupamnana na Dola.

Sasa hivi Dola linajiandaa kutudhibiti. Sasa wanachama wetu sio kwamba, hawaoni, wanaona na wanaelewa.

Kwa hiyo sisi tunawashauri viongozi wafikirie na waelewe kwamba huu uamuzi wa kuzuia uchaguzi, ni rahisi Zaidi kuzuia uchaguzi ukiwa ndani ya uchaguzi na niseme tu, kesho kutwa baada ya Bunge kuvunjwa Juni, vyama vyote vya siasa, vinajielekeza kwenye election mood (mtazanmo wa uchaguzi).

Chadema tukiendelea na huu msimamo wa kuzuia uchaguzi, hatutafanya shughuli yoyote ya siasa, kwa sababu kwenye kampeni hatutakuwepo, maana hatutashiriki uchaguzi, kuanzia Agosti mpaka Oktoba tutakuwa kimya, maana yake hatutakuwepo.

Kwa hiyo sisi tunaona hiyo hatari ya chama chetu ambacho tumekijenga kupitia chaguzi na chaguzi ndogo. Tuliposhinda uchaguzi mdogo wa Tarime tukaanzisha Operesheni Sangara tukakinyanyua chama, tulipoenda Arumeru Mashariki 2012 tukashinda, chama kinyanyuka kwa nguvu kubwa tena tukaanzisha M4C (Movement for Change), kwa hiyo tunazungumza tunachokielewa, kwamba chama kisiposhiriki uchaguzi kinajichimbia kaburi, tutasubiri niaka mingine 30 kujenga chama kifikie ngazi tulipo leo.

Swali: Tangu wakati kampeni ya No Reforms No Election ilipoanza, mlitaka iweje?

Jibu:
Ukimsikiliza wakati aliyekuwa Mwenyekiti Freeman Mbowe alipozungumza Desemba 11, 2024, alisema ikifika wakati wa uchaguzi na hakuna mabadiliko, chama kitafanya uamuzi sahihi.

Swali: Uamuzi gani?

Jibu:
Huo ni uamuzi wa vikao, kwa hiuo warudi kwenye vikao wahsauriane. Kama tumekata tamaa ya mabadiliko warudi kwenye vikao. Lakini mimi naona hawajakata tamaa ya mabadiliko. Juzi Mwenyekiti wetu (Tundu Lissu) ambaye ni mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzanoia (TCD), aliongoza kikao na akasema walikubaliana halafu maazimio yao watayaanduika wampelekee Mheshimiwa Rais.

Maana yake kuna jitihada bado zinaendelea. TCD wanachama wake ni pamoja na CCM na alikuwepo Makamu Mwenyekiti wa chama hicho (Bara), Stephen Wasira. Sasa mwenyejkiti wetu amesema wamekubaliana maazimio yao halafu wataalndika wampelekee Mheshimiwa Rais. Inawezekana kuna vitu wamekuabliana kuhusu hayo mabadiliko.

Ndio maana tunataka wakati jitihada hizo zikiendelea, chama nacho kiendelee kujiandaa, kwa sababu hatimaye mnaweza kukuta mabadiliko yametokea halafu hamjajiandaa, hivyo tunatahadharisha kwamba twende na yote mawili.

Swali: Wiki iliyopita viongozi wa Chadema waliitisha makada wanaotaka kutia nia ili wazungumze, ninyi mbona hakufika?

Jibu:
Maoni yetu tuliyaandika Katibu Mkuu aliyapokea na Mwenyekiti Lissu akiwa pale, alijibu baadhi ya maoni yetu, ndio maana leo tukaamua tuyaweke yote hadharani ili watu wajue tulipeleka nini.

Kwa sababu wanaanzisha dhana kwamba hawa ni kundi la waasi, kwa hiyo tunataka wajue tulichopeleka nini, je ni uasi au ni mawazo mbadala.

Ni kweli hatukwenda pale kwa sababu ya kauli za mwenyekiti, makamu mwenyekiti, kauli za Godbless Lema zilikuwa zinatutia hofu. Mtu anasema kama mna mawazo mbadala ondokeni kwenye chama, ninyi ni vibaraka wa CCM. Sasa unatuita sisi ni vibaraka wa CCM halafu unatuita tuje tufanye nini? Tuje tushauriane nini wakati umeshatupa majina mabaya?

Swali: Sasa kama meshapewa majina mabaya, kwa nini tena mmepeleka mapni kwa maandishi?

Jibu:
Sisi tuliona pale aliteleza na ndio maana tumeandika tukiamini kwamba aliteleza, kwamba siku nyingine usije ukaita watu halafu kabla hawajaja ukawa umeshawapa majina. Ndio maana tuliandika ili zibaki kwenye rekodi za chama na tulisaini mmoja mmoja, hazikusainiwa na mtu mmoja akaghushi saini.

Swali: Kama ilikuw ani maoni tu, kwa nini mmeanzisha kundi nje ya chama ambalo halitambuliki kwa katiba ya chama?

Jibu:
Chama kina makundi mengi sogozi, nikikuonyesha kwenye simu yangu. Yapo ya Chadema Family na wanachangiana fedha. Hata chama chenyewe, wametupa petition wagombea tukasainishe wananchi milioni 15. Kwa hiyo ni utaratibu tu wa chama.

Kwa hiyo, chama kinayatambua hayo makundi ya Tehama na ndio maana taarifa za chama tunaletewa kwenye makundi, taarifa za katibu mkuu zinaletwa. Kwa hiyo sisi kuanzisha kundi sio kosa, yapo Zaidi ya 1,000.

Swali: Chama kikikataa maoni yenu mtachukua uamuzi gani?

Jibu:
Tutaendelea kubaki Chadema, sisi ni wanachama. Chama kikikataa ushauri tutapima.

Swali: Au mtakwenda kugombea?

Jibu:
Suala la kwenda kugombea, sisi bado ni watia nia, michakato ya kugombea bado, ila kutia nia tunaendelea kama walivyo watia nia wengine ambao bado wako ya chama. Hata wale waliokwenda makao makuu bado ni watia nia.

Swali: G55 ina ugomvi gani na Maria Sarungi?

Jibu:
Sisi tumesema tunachoona kwamba anaingilia mamlaka za chama. Anapoandika kwamba chama kisema aliyeitisha hicho kikao ni nani wakati viongozi wakuu wako field, tunataka atuletee majina ya hao wanaotaka ubunge. Yeeni Katibu mkuu ameitisha kikao cha wagombea wake, yeye anahoji kama nani?

Tunajua uhusiano wake na baadhi ya viongozi, tunajua harakati anazofanya ndani ya chama, sisi sio wajinga. Tulikuwa kwenye chama na bado tuko kwenye chama. Tunachokitahadharisha chama, kisiruhusu makundi ya nje ya chama kuanza kukiendesha chama kwa rimoti.
mrema huyu mnayemwona, ndiye pia alitumwa na DJ kwenda mbeya kuhakikisha msigwa hashindi, na pia ndiye aliyekutwa anakunywa bia na whisky pamoja na mgombea SUGU usiku wa saa 6 ili kesho akasimamie uchaguzi wao. hana credibility na ilikuwa muhimu sana asipewe cheo chochote, hata sugu ni timu mbowe, wawe naye makini. na kwa taarifa yake akiondoka chadema, pale mbeya hawatamfuata kabisa kwa sababu pale hawapendi mtu wanapenda chama.

anachotakiwa kufanya Lisu ni kuandaa hotuba yake murua itakayowavunja mbavu hawa wote, ili hata wakieneza upupu wao wananchi wawazomee tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom