Thank u!What is your point.
Swissme
Upo sahihi kabisa. Suala la video kuonyesha mtu akiwa anaingia na kutoka bila purukushani au majibizano yoyote inatia shaka sana. Kimsingi Ruge anapata kiburi cha kuongea kwa sababu ile ambush ili abort. Lile jumba huwa usiku linageuka kuwa ni genge la kugawa ngada kwa wasanii na usiku ule ni bahati tu iliwakuta. Sasa kwa kuwa watu wana negative attitude na RC Mh. Paul C. Makonda, basi wala hawaoni juhudi zake za kutenda kazi.. Chapa kazi RC wetu, Mungu atakulinda na hila za vibaraka zitashindwa. Viva Makonda Viva.Niende moja kwa moja kwenye mada,
Kuna habari chungu nzima zinazoelezea jinsi RC wa Dar es Salaam alivovamia Clouds Media lakini habari hii ina ushahidi kidogo sana, ushahidi mkubwa ni mahojiano ya Bw Ruge na waandishi wake wa habari, na clip fupi inayomuonyesha RC akiingia na kutoka ofisin kwao.
Kila mtu anayemjua Ruge anamjua ni mtu wa maslahi, ni mwepesi sana kumgeuka yoyote kunapo maslahi. Hili linaweza elezewa vzr na Mr II (Sugu) kuliko yoyote. Asingeweza kuacha maslahi makubwa aliyenayo kwa RC huyo na kugombana naye unless anamaslahi mengine makubwa zaidi, na kwa maana hiyo maneno yake siyo ya kuzingatiwa saana labda kama yana ushahidi mwingine wa ziada.
Kwa hilo, ingekuwa vyema Clouds Media wakatoa ushahidi huo wa ziada kwa kuonyesha mkanda mzima ukionyesha uvamizi ule ili ndugu RC ashtakiwe kwa hilo na kwa sababu ushahidi wa video ni mkubwa zaidi ya ushahidi mwingine wowote ndugu makonda hawezi kukwepa kamwe huko mahakan au kokote ushahidi utakapoonyeshwa.
Swali la kujiuliza why haujatolewa ushahidi woote huo either kwenye TV yao au mahakan na badala yake zimeanza kuwekwa hadithi moja baada ya nyingine (vyeti,uvamizi,utakaji....) mpaka mwishowe verse zitaisha na hakuna lililobadilika.
Naamini haki ya RC na Clouds Media ziko kwenye hiyo video. Clouds Media watuweke wazi ili tumjue mkuu wa mkoa vzr na tumhukum kwa hilo na si maneno yao.
Kwa video hiyo hatutahitaji vyeti wala tuhuma za yeye kumteka ROMA, ila bila video hiyo itakuwa ni hadithi tu kama hadithi nyingine zozote, baada ya utamu na uwongo wa hadithi kila mtu anakung'uta matako yake na kwenda kukojoa then kulala kesho tukisubiria hadithi nyingine.
Weka misijawai kuuona huo wakiwa ndani ya studio sio ule wa pale mapokezi.Ushahidi wa video mbona ulikwisha sambaa labda wewe hukufanikiwa kuupata
Au una hoja unayotaka kuianzisha maana hili swala liko wazi kwa aliyelifatilia
Kwa akili ya kawaida tu makonda alikosea
Mtoa mada kasema kuwa, kwanini clip ya uvamizi ioneshe kifupi sana, tena ni tendo la kuingia peke yake wakati sec cam hazikuzimwa?Ushahidi wa video mbona ulikwisha sambaa labda wewe hukufanikiwa kuupata
Au una hoja unayotaka kuianzisha maana hili swala liko wazi kwa aliyelifatilia
Kwa akili ya kawaida tu makonda alikosea
Mbona unajichanganya ndugu? Unataka ushahidi gan zaidi wa cctv ulosambaa? Unategemea mtu angekaa na kurekodi as film? Possibly unayo tunaiomba
Sirro kawaambia clouds kama wanaona walivamiwa na makonda na ushahidi wanao basi wakaripoti polisi kisha dola itake over kesi hiyo, mpaka leo kimya!Niende moja kwa moja kwenye mada,
Kuna habari chungu nzima zinazoelezea jinsi RC wa Dar es Salaam alivovamia Clouds Media lakini habari hii ina ushahidi kidogo sana, ushahidi mkubwa ni mahojiano ya Bw Ruge na waandishi wake wa habari, na clip fupi inayomuonyesha RC akiingia na kutoka ofisin kwao.
Kila mtu anayemjua Ruge anamjua ni mtu wa maslahi, ni mwepesi sana kumgeuka yoyote kunapo maslahi. Hili linaweza elezewa vzr na Mr II (Sugu) kuliko yoyote. Asingeweza kuacha maslahi makubwa aliyenayo kwa RC huyo na kugombana naye unless anamaslahi mengine makubwa zaidi, na kwa maana hiyo maneno yake siyo ya kuzingatiwa saana labda kama yana ushahidi mwingine wa ziada.
Kwa hilo, ingekuwa vyema Clouds Media wakatoa ushahidi huo wa ziada kwa kuonyesha mkanda mzima ukionyesha uvamizi ule ili ndugu RC ashtakiwe kwa hilo na kwa sababu ushahidi wa video ni mkubwa zaidi ya ushahidi mwingine wowote ndugu makonda hawezi kukwepa kamwe huko mahakan au kokote ushahidi utakapoonyeshwa.
Swali la kujiuliza why haujatolewa ushahidi woote huo either kwenye TV yao au mahakan na badala yake zimeanza kuwekwa hadithi moja baada ya nyingine (vyeti,uvamizi,utakaji....) mpaka mwishowe verse zitaisha na hakuna lililobadilika.
Naamini haki ya RC na Clouds Media ziko kwenye hiyo video. Clouds Media watuweke wazi ili tumjue mkuu wa mkoa vzr na tumhukum kwa hilo na si maneno yao.
Kwa video hiyo hatutahitaji vyeti wala tuhuma za yeye kumteka ROMA, ila bila video hiyo itakuwa ni hadithi tu kama hadithi nyingine zozote, baada ya utamu na uwongo wa hadithi kila mtu anakung'uta matako yake na kwenda kukojoa then kulala kesho tukisubiria hadithi nyingine.
Labda tukusaidie tu bashite hateuwi watendaji anaeteua babaake bashite kama unataka uteuzi bora utumie njia mkato ukamwambia naomba kazi huku unazunguka tu.