utata mtupu

M-bongotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
1,736
Reaction score
411
Sijui kwanini aliamua kuvaa nguo ya mwanae..
 

Attachments

  • utata mtupu.jpg
    21.9 KB · Views: 1,133
Huu kweli utata!
 
Mmm.. nikimuangalia kwa makini naona kama dada yake JOHN CINE
 
Kama omaga hata kufuli hajatupia. Ukioa huyu hakuna kucheatiwa.
 
mbona wanawake wanazalilishwa kihivi??? mbona hiyo ni kama public place??? au ni kwenye 'striptease dance?' imenichefua sana:evil::evil:
 
Sijui kwanini aliamua kuvaa nguo ya mwanae..

1. Aliona hasipitwe na mtindo wa pedo.

2. Mtoto wake alipokuwa akiiva ilikuwa ikimpendeza kwa sababu ni size yake, na yeye akadhani akivaa atapendeza kama mtoto wake.
 
Haa haaa yani great thinkers mmechekesha sana, wanawake siku hizi hawaishi vituko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…