Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,822
- 5,415
Kama si hivyo atakudhuru babaa.. [emoji444]Marijani Rajabu.
"Masudi amekuwa jambazi.ukikutana nae usiku mpitie mbali"
"Hakuna kitu kibaya sana hapa duniani kama shida...." sijui nani kati yao ameimba hii mistari, ila ndio nampa kura yangu
anajua sanaMistari ya Mbaraka Mwishehe hiyo
Mbaraka Mwinshehe ni kizazi kingine kabisa, yeye anafananishwa na kina Maalim Gurumo, Juma Kilaza, n.k. Yaani ni sawa na kumfananisha Lady Jay Dee na Zuchu, Zuchu akiwa ni Marijani. Umeelewa?habari zenu
Mzee wenu nimekaa hapa nasikiliza hawa vijana wenzangu wa enzi hizo..si mnajua ten weekend hii..ila kiukweli nimeshindwa kungamua kabisa kati ya hawa wakongwe wa huu muziki ni nani alikuwa anamzidi mwenzie
Yaani nimeumiza kichwa peke yangu hapa nikaona ni bora ni washirikieshe na ninyi wenzangu jukwaani...
Ni nani mkali hapo??
MARIJANI RAJABU VS MBARAKA MWINSHEHE
Mbaraka Mwinshehe ni kizazi kingine kabisa, yeye anafananishwa na kina Maalim Gurumo, Juma Kilaza, n.k. Yaani ni sawa na kumfananisha Lady Jay Dee na Zuchu, Zuchu akiwa ni Marijani. Umeelewa?
Sijakuelewa mkuuMbaraka Mwinshehe ni kizazi kingine kabisa, yeye anafananishwa na kina Maalim Gurumo, Juma Kilaza, n.k. Yaani ni sawa na kumfananisha Lady Jay Dee na Zuchu, Zuchu akiwa ni Marijani. Umeelewa?
Usia wa babaBaadhi ya Nyimbo za marijani ni kama Zuwena, Georgina, Mwajuma, Dunia Imani Imekwisha, Namsaka Mbaya Wangu.