kwanza kabisa nasikitika kwa wanafunzi waliokuwa wakifuatilia masomo ya mkuu
Msamiati (RIP).
pili, mkuu msamiati alikuwa anajitolea kuwapa masomo na sio kuwa alikuwa akilipwa ama vipi, kwa hiyo inabidi kuwa wavumilivu atakapojitokeza mwingine kujitolea kutoa masomo basi tutaendelea...