Abuu Abdurahman
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,446
- 1,813
Tuwekee hapa hiyo pdfNimeangalia pdf ya T.T.T najua hata kuona vijana kwa kama chambooo. Yanii ni sawa wewe ni beginner una attend seminar unaambwa forex usikate tamaa una lipa unasepa.
Hata nikiweka pdf yake hapaa kwa mzoefuuu ni nothing.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siweziii na sioo poa. Ila jua haina,ishuuuu kabisaa.
Usikute wewe ndo yeye1)Ontario ndio binadamu pekee niliyemuwashia notification IG.
2)Ontario ndio kiumbe pekee nikiambia ni-unfollow wote nakubakisha mmoja atabaki yeye.
Ifahamike mpaka nikuwekee mtu notification ujue kuna kitu Extra-Ordiinary.
Sent using Jamii Forums mobile app
1)Ontario ndio binadamu pekee niliyemuwashia notification IG.
2)Ontario ndio kiumbe pekee nikiambia ni-unfollow wote nakubakisha mmoja atabaki yeye.
Ifahamike mpaka nikuwekee mtu notification ujue kuna kitu Extra-Ordiinary.
Sent using Jamii Forums mobile app
PacificOntario akamatwe afungwe jiwe kubwa shingoni atupwe baharini Tena katikat ya bahari...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Atakwambia anatamani aolewe na huyo Ontario
Siweziii na sioo poa. Ila jua haina,ishuuuu kabisaa.
Na huwezi na huta kaa uwelewe ni upuuzii tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
No ile ni PDF yake sio yangu.Wewe unautofauti gani na Ontario?
Weka PDF kila mtu ajionee sio kuleta porojo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Level alizo ONTARIO sasa hivi na watoa shutuma juu yake
ni sawa na Diamond Platnumz na Samir kinyuli nyuli.
Hivi roho ya kupam ana kutapeli ni ya kuiga??? Maana hata jambazi anapambana usku wa mananeKuna cha kujifunza toka kwake lakini upuuzi anaoufanya ni uhuni kwa vijana huyu bwana haeleweki lakini spirit ya upambanaji anayo ndo napomkubali tuige ile roho yake ya upambanaji
Ontario kijana machachari sana huyu dogo, dogo 25 tu lakini anafanya makubwa mnoo!! Mtu yupo kwa shangazi yake kamaliza kula ugali huko hata hajanawa anakuja kujimwambafai na huu upuuzi, Kama alisema hata kuja kupiga chaki ni kipindi hicho cha kale mkuu, hata trump aliwahi kusema hatakuja kuwa raisi miaka ya 80 ila sasa ni raisi wa marekani tena mwenye mafanikio kuliko maraisi wote labda kennedy kwa mbali
Dah mzee mna kazi kweli kupinga jitihada za "THE TANZANIAN GODFATHER OF FOREX" alifanya forex iwe habari ya mujini miaka ya 2017 na vijana wengi kuanza kupiga msuli wa forex ambao nao wame insoire waengine kujaribu huku forex, Hata kama kuna tetesi kuna vipesa alipiga kihalali na broker mimi siuiti wizi ila tu ni chuki ya wabongo, Hapa ufe ufufuke huo ndio uhalisia.sio Mungu wala malaika uyo Ontario wako,Akifanya ndivyo sivyo atakosolewa tu , hamna anaebisha kwamba hajafanikiwa ni manipulation yake kusema anasaidia maskini kwa kula pesa zao ..hio ndio weng wapo against ...ana post madini NDIO ..lakini janja janja zake za ku manipulate watu hatutakubaliana nazo thats y kama anataka kusaidia watu waondokane na umaskini aendelee kwenye insta ambayo mambo yanayompa pesa zaid kama kilimo na ufugaj huwa haongelei sana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Broo ushauri ulioutoa ni mzuri ila mbona umemalizia kwa matusi na kuharibu content yakoo mzeeDah mzee mna kazi kweli kupinga jitihada za "THE TANZANIAN GODFATHER OF FOREX" alifanya forex iwe habari ya mujini miaka ya 2017 na vijana wengi kuanza kupiga msuli wa forex ambao nao wame insoire waengine kujaribu huku forex, Hata kama kuna tetesi kuna vipesa alipiga kihalali na broker mimi siuiti wizi ila tu ni chuki ya wabongo, Hapa ufe ufufuke huo ndio uhalisia.
Mkuu nimesema wapi yeye ni mungu, ama kweli hii kitu umeichukulia personal na nimekupiga muhuru wa "Mjing" maana siku zote akili kubwa wanajadili ideas na events ila akili ndogo wanajadili watu.
Tumshukuru tu huyu mwenzetu kaenda mbali zaidi ya hapo kasoma vitu ambavyo huwezi vitu anavyotumegea huwezi kufundishwa darasani kama negotiation, networking, ujasiriamali practical, kukabiliana na uhalisia, kutafuta pesa nje ya taaluma. Elimu ya darasani si kila kitu na wengi tunayo kwenye magamba ya degrees tuliyoishia kukariri what is xxx, functions of xxx, advantages of xxx, briefly discuss xxx, hivi vitu watu wamehitimu na vyeti vizuri ila mitaa inawachakaza mno kwasababu ya kukosa madini anayotoa mshkaji maana nina uhakika hata wewe hujasoma hata the magic of big thinking na kama unabisha kataa nikugonge swali
Aalafu hasaidii mtu 100% kuondokana na umasikini mkuu, Tuchukulie wewe ni punda naweza nikakuchapa bakora hadi mtoni ila kunywa maji ni jitihada zako wewe, Kijana anatoa madini ila implementation yenye effeciency na effectiveness ni juu yako wewe.
View attachment 1424017
Kilimimo hakiongelewi kinatendwa, na elimu ya kilimo wengi tu wanayo yeye kajikita zaidi kwenye kutoa information adimu ambayo mimi na wewe hatuwezi kuipata hata kwa profesa aliyekariri vitini vyote vya physics. na cha ajabu kuna profesa aliiba nondo za huyu dogo akaiweka kwenye page yake akaonekana kichwa kumbe mwizi tu [emoji1787] [emoji1787]
Kama unahisi rahisi jaribu wewe na hako kakichwa kako kalikojaa chuki sijui utatoa madini yapi
Think beyond, Dont hate get inspired nigga. Dogo ahsapiga hatua yupo forbes huko wewe unapambana kumshusha, fika huko kwanza ndio uanze kuwa na mawazo hayo. Eti "kusaidia kuondoa umaskini" wakujisaida ni wewe hapo yeye anakutoa ukungu tu msaada wake 20% tu 80 % yako, mnapenda sana kitonga wabongo.