Utata juu ya mwanaJF Ontario

Niko kama wewe nafollow watu na page chache sana akiwemo Ontario ana kitu kwel lakini si kwakuwahadaa vijana huku kashindwa TMT sasa yuko na pesaship mjomba huna cha kuniuliza kama kuna ujanja wa mjini hapa
Wewe fata kilichokupeleka kwenye Page kwanini ufuatilie usichokihitaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
motivation speaker motivation speaker motivation speaker daaah wanazidi kuwapoteza vijana kwa kasi sana

October man jitafakari ni mipango mingapi unayo na hujaifanikisha mpaka now? na daily unaendelea kuwafatilia hawa motivation speaker? vipi car wash usha fungua?

nb; yaani mtu akufundishe jinsi ya kutafta pesa na kujinasibu kuwa yeye ni tajiri afu hapohapo anataka umlipe 40k ya mafunzo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi kutengeneza kundi la misukule ya kukuabudu ni rahisi sana.

Hapo Ontario kashapiga mahesabu, akiposti picha hakosi LIKES 1,500+

Kwa Muktadha huo, hawezi kushindwa kupata Misukule 100 tu !

Na Kwa Kutumia Hao Watu 100 ( Kwa Makadirio Ya Chini ) Kama Kila Mmoja atakuwa analipa Fees ya Tsh 40,000 Kupitia hiyo program yake ya PesaShip.

Maana Yake atakuwa na uwezo wa kuingiza Takribani Tsh 40,000^100 = 4,000,000 Tsh ( Ndani ya Dakika chache tu za Pindi )

Hata Wasanii Wakubwa bongo hawajafikia kiwango hicho ( Cha Kupiga Show Kwa Muda Mfupi Sana, Tena Ya Tsh 40,000/ Kichwa )

Ontario Kashawajua Wabongo, wanapenda mteremko, maisha mazuri na short cuts.

Na Kaijua Njia Nzuri Ya Marketing ( Storytelling ) Kwahiyo Ndoano Zake Huwa Hazitoki Bure.

Ukitaka Kumjua Ontario, Soma Vitabu Anavyosoma. Period

Na Kama Angekuwa Na Nia Ya Kuwasaidia Vijana Wake, Angewapa FORMULA YAKE YA CHAKULA KUKU.

Binafsi hata aje Tonny Robbins Siwezi Kumlipa Akaniambie KOMAA, PAMBANA, UNAWEZA, USIKATE TAMAA. Never !!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo mkuki house nacheza game

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli unamfuatilia vizuri mkuu [emoji23][emoji23]

Kwenye kujibrand jamaa kaweza sana na hiyo storytelling ni njia yake pia.

All in all nakubali harakati zake at least anafanya kitu kwa life lake , Japo level ya ego na dharau zake si nzuri haswa kwa umri wake
 
Nilimkubali Ontario katika theory yake ya kufuga kufuga kuku ili awauzie wasio na kipato cha chini kwa lengo la kuonda au kupunguza utapia mlo. Hili wazo sifahamu alifikia malengo kwa kiasi gani lakini ufumbuzi huu kwa kijana wa umri wake nilimpa credits.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…