Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

Mkuu The bold Salute nyingi kwako,,,nimepitia madini yote uliobandika kwa kweli yana thamani..Huyu anaonyesha CIA ndio waliomuua kikatili namna hio na JFK hakujua kwamba alikaa nao hadi meza yake ya kulia chakula,,na kwa namna walivyo wanafiki walimuongoza mpaka ktk eneo la kifo chake..Mkuu utakapomaliza andiko hili kama itakuwa ktk interest yako hebu tuchambulie na yaliomkuta YITZHAK RABIN wa Israel maana na yeye alienda kinyume na waliotaka Mossad.Big Up sana mkuu.
Naunga mkono hoja
 
Ila mkuu kipande umesahau kukitolea ufafanuzi, kile special Agent Winston G. Lawson na Agent Forrest V. Sorrels jambo waliloliona wakati walipoendesha gari kupitia ruti Iliyokuwa imependekezwa itumike kutoka uwanja wa ndege wa Dallas love Field mpaka Trade mart
Nitakiongelea huko mbeleni mkuu..
 
Back
Top Bottom