Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
- Thread starter
- #181
Shukrani sana mkuuThe Bold unatisha sana Bro hii ni kazi nzuri ya kupongezwa hongera sana[emoji122][emoji122][emoji122]
Shukrani sana mkuuThe Bold unatisha sana Bro hii ni kazi nzuri ya kupongezwa hongera sana[emoji122][emoji122][emoji122]
Shukrani mkuu! Nitakutag bila shakaWe jamaa we post zako kama naangalia muvi vile, hongera na next post naomba unitag tena.
Sawa mkuu... Will do thatNaomba utanitag mkuu ukitoa tena
Watetezi wenyewe ndio walewale halafu hawana jipya.Kiukweli inauma sana....mtu anapoteza muda mb kuzunguka mitandaoni kukusanya hiki na kile ili akuletee kitu kizuri alafu inakuja mijitu isiokuwa na utu inaiba alafu watu wanawatetea hili alikubariki.... Napinga kwa nguvu zote HALIKUBARIKI
N me piaShukrani mkuu! Nitakutag bila shaka
Pamoja sana mkuu... Nitafanyia kazi suala la IsraelMkuu The bold Salute nyingi kwako,,,nimepitia madini yote uliobandika kwa kweli yana thamani..Huyu anaonyesha CIA ndio waliomuua kikatili namna hio na JFK hakujua kwamba alikaa nao hadi meza yake ya kulia chakula,,na kwa namna walivyo wanafiki walimuongoza mpaka ktk eneo la kifo chake..Mkuu utakapomaliza andiko hili kama itakuwa ktk interest yako hebu tuchambulie na yaliomkuta YITZHAK RABIN wa Israel maana na yeye alienda kinyume na waliotaka Mossad.Big Up sana mkuu.
Bila shaka mkuu! NitakutagNitag ukiendeleza
Salute mkuu! Shukrani..nataman niwaeleze watu na enjoy kiasi gan but i cant.. naheshim uwezo wako mkuu the bold.
Check me 0718 096 811nipe procedures mkuu sababu mimi mwenyewe na uhitaji huo.
Kila mwezi unalipa?Check me 0718 096 811
Kuna fee ya 5,000/- per month
usisahau kunitag namimi mkuuSawa mkuu.. Will do that
[emoji14] [emoji12] [emoji3] the bold kiswahili gani hiki.CC faiza foxNitakiongelea huko mbeleni mkuu..