utarudia...?

utarudia...?

kabanga

Platinum Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
37,649
Reaction score
19,042
1235444_333066340163073_1815535455_n.jpg

1235936_333066360163071_1895557197_n.jpg
 
...du wajeda watata sana, ningekuwa mimi namchapa tu...
 
Wanajeshi waTZ hayo ya kupiga raia ndio wanayaweza, lakini vita, wanakufa kama kuku mwenye kideri...
 
Ningekuwa mimi nikitoka hapo namwambia soldier naenda kumsemea kwa M23..
 
Arrrroo Rara chini harraka kaburaa sijaansa kukugaragasa na ukiinuka wende teena kwenye rire puru ra maji taka ukaogerrree ni lasima uttii amurri yangu na ya cheshi
 
Watakuwepo lazima kukinyesha mvua lazima wawepo!

Ngoja niwatafute hao nyungunyugu weekend hii.
Enzi hizo hata hapa mjini Dar kulikuwa na vipepeo, panzi, 'tisa disemba', na wadudu wengine wa mashambani.
Siku hizi hata chura kumuona hapa Dar ni kazi kweli.
 
Tatizo ni kwamba idadi ya watu inaongezeka kwa kasi na machafuko ya mazingira pia yanachangia hao wadudu kutoweka...Cheki kwenye madimbwi ya maji kukinyesha mvua unaweza kubahatika kuwapata lol....
 
Back
Top Bottom