utarudia...?

utarudia...?

Tatizo ni kwamba idadi ya watu inaongezeka kwa kasi na machafuko ya mazingira pia yanachangia hao wadudu kutoweka...Cheki kwenye madimbwi ya maji kukinyesha mvua unaweza kubahatika kuwapata lol....

Weekend hii nitawatafuta vipepeo na nyungunyungu. Zamani zile hawa nyungunyungu tulikua tunawatumia kama 'chambo' kwenye ndoano za kuvilia perege kwenye mabwawa na mito.
Huwezi kuamini, zamani hizo haya hapa Dar kulikuwa na mabwawa na mito yenye perege saafi kabisa.
Siku hizi mabwawa yote yamejazwa kifusi na kugeuzwa viwanja na kujengwa nyumba !!!
Mito yote siku hizo inatiririsha maji meusi sana, hata chura hawezi kukaa ...!!!!
 
Back
Top Bottom