Utaratibu wa Recatagorization!

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,227
1,389
Wakuu naomba kufahamishwa ikiwa mfanyakazi yuko serikalini na anafani mbili mfano ni Afisa kilimo na mifugo na ni mwanasheria ,anataka kubadilisha afanye kama mwanasheria wa serikali au idara inayoswihi na hiyo taaluma ya pili,naomba kujulishwa utaratibu kufatwa au waraka wa serikali juu hilo.!
 
Wakuu naomba kufahamishwa ikiwa mfanyakazi yuko serikalini na anafani mbili tofauti ,mfano ni mwanasheria na ni afisa kilimo na mifugo na ,anataka kubadilisha afanye kama mwanasheria wa serikali au idara inayoswihi na hiyo taaluma ya pili,naomba kujulishwa utaratibu kufatwa au waraka wa serikali juu ya hilo.!asanteni
 
unaomba kufanyiwa recategolization kwenda fani unayoipenda so unaandika barua ya kuomba hilo kwa mkurugenzi mtendaji then afisa utumishi au HR atakufanyia hilo ila mshahara utaanza na entry point ya hiyo fani yako mpya iwapo umebadilisha idara kabisa hutotakiwa kubakiwa na mshahara binafsi hasa endapo mshahara ulionao unauzidi ule wa entry point kwa proffesional hiyo mpya ila endapo utabaki katika idara ileile utaombewa kibali cha mshahara binafsi kwa katibu mkuu utumishi wa umma
 
[/QUOT nl
Na Kama nataka kuhamia sehemu ambayo haiko chini ya mkurugenzi mfano mi nataka kuhamia chuo Cha utumishi wa umma nafanyaje?
 
kama ulishakula chumvi kidogo kwenye utumishi, angalia athari za kupanda cheo kipya kama utafikia na kukivuka cheo cha muundo wako wa sasa. wengi wanalia, maana cheo kipya cha muundo mpya utakitumikia miaka 4(maelekezo ya PE 2019/2020) ndo uanze hatua ya pili.
 
Back
Top Bottom