johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,605
- 142,923
Shujaa Magufuli alituomba tumkumbuke kwa mazuri yake siyo mabaya na Uteuzi wa makada wa CCM kuwa DED na DAS siyo sehemu ya mambo mazuri aliyoyafanya.
Ni vyema mpendwa wetu Rais Dr. Samia akaachana nao.
Nawatakia Dominica Njema 😄
Ni vyema mpendwa wetu Rais Dr. Samia akaachana nao.
Nawatakia Dominica Njema 😄