Utaratibu wa kurudisha mkopo bodi ya mikopo kwa mwanafunzi aliye-disco upoje?

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,327
8,243
Habari marafiki,

Naomba kuuliza kama kuna mtu aliwahi fanya hichi kitu cha kurudisha mkopo bodi ya mikopo ili aweze kufanya maombi upya.

Utaratibu wa kuurudisha mkopo upoje.
 
Una fika Vetenary ofisini kwao una waeleza, watakuomba taariifa chache, pia watakupa utaratibu pamoja na control namba ya malipo.

NB
Usipo lipa deni huwezi pata mkopo na ili ufikiriwe, itakulazimu kulipia angalau asilimia kadhaa ya deni unalo daiwa.
 
una fika Vetenary ofisini kwao una waeleza, watakuomba taariifa chache, pia watakupa utaratibu pamoja na control namba ya malipo...

NB
usipo lipa deni huwezi pata mkopo... na ili ufikiriwe, itakulazimu kulipia angalau asilimia kadhaa ya deni unalo daiwa...
Unalipia asilimia ngapi, rafiki.
 
Back
Top Bottom