Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,318
- 33,125
Mkuu.@Suprise Huyo Mshikaji wako ana makosa wakati alipoambiwa na mwanamke wake kuwa ana mimba
kwanini huyo mshikaji wako hakuenda Dar toka huko aliko kumpima hiyo mimba aliyokuwa nayo kama ni kweli
na je angelijuwa kuwa hiyo Mimba ni ya miezi mingapi? Swali langu hilo na jibu la swali lako Bora aende
kupima hiyo DNA itajulikana kama ni mtoto wake au sio mtoto wake na kama ikijulikana kuwa ni mtoto wake huyo rafiki
yako atakuwa ameadhirika kwa sababu hakuweza kumsaidia huyo Mwanamke wakati ana mimba ya huyo
mtoto mpaka alipo jifunguwa?ahh Sisi wanaume kazi yetu kutia mimba kisha tunapenda kuikataa hiyo mimba
kwanini? unapenda kucheza mchezo faida ya mchezo si kuzaa jamani? Wewe umezaliwa kwanini usizae?