Utaratibu wa kupima Ukimwi bongo una maswali mengi kuliko majibu: Kuna haja ya kuboresha

Nikipita bira kucoment ntakua sijaitendea haki taaluma yangu.

Kwanza mleta mada pole kwa experience yako Kama umekutana nayo bayana . ...mbali na hivyo nikuombe uwe mpole na ukubari kujifunza na kuheshimu taaluma za watu.

Wataalamu wa afya ni watu makini na mara nyingi utenda kazi zao kwa weredi mkubwa kwa kuzingatia evidence based medicine.

Nikijibu maswali yako kwa ufupi ni kuwa , zoezi zima la upimaji Lina miongozo yake.

Ukweli ni kuwa kwa current guideline ya upimaji wa HIV hauitaji kurudia zaidi ya Mara mbili na kipimo cha Kwanza na cha pili hutofautiana kwa week 4 tu, yaaani mwezi mmoja.

Pili ni vizuri kutambua kuwa Kuna kitu kitaalum tunakiita "window period" hiki ni kipindi ambacho toka umepata maambukizo hadi kipindi tunapoweza kugundua Kama umeambukizwa hasa kwa kutumia detection of antibodies against HIV Kutokana na vipimo tunavyovitumia kupima HIV yaaani rapid HIV test (SD Bioline /Unigold). Kwa HIV huwa ni muda wa 2-4wks ndipo mwili utengeneza antibodies dhidi ya HIV , na vipimo tuvitumiavyo ni vile vinavyotest uwepo wa antibodies hizi mwilini .

So unaweza kuwa negative siku ya kwanza kupima ila ukawa positive katika kipimo cha marudio. Ili kuhepuka tatizo hili ndiposa kipimo Cha marudio huwa ni mhimu kufanyika. Hii ni kwa faida ya mgonjwa na jamii kwa ujumla ili kupunguza chance ya kum -lable mtu Yuko negative kumbe Yuko positive, na subsquent consequences unaweza kuzi predict hasa kwa vijana wasio makini Kama mleta mada.

Note: wataalamu wa upimaji uhakikisha wanakupa maelezo ya kuzingatia ndani ya kipindi hicho Cha matazamio ya kipimo Cha pili.

Hata hivyo Kuna kipimo kingine cha PCR ambacho kinaweza kudetect kuwa una HIV ndani ya siku 3 toka umeambukizwa ila kwa bahati mbaya hatuvitumii routinely na havipo kila kituo Cha Afya.

Mwisho, usije ukapotosha umma kuwa damu inayochangiwa na wagonjwa ndo hiyo hiyo huenda kuongezewa mgonjwa direct; La hasha! Damu hiyo hupita katika mchakato wa vipimo mbalimbali Kama HIV na Hepatitis na cross matching ili kujua compatibility.

Mambo haya ni yakitaalamu hivyo mara nyingi hata ukimueleza mgonjwa au ndugu huwa si rahisi kuyaelewa ndiposa layman language utumika ili kutoa ujumbe.

Niitimishe kwa kusema

Ziko faida nyingi kwa kujua hali yako ya maambukizi.

Shime vijana jitokezeni kujua hali zenu.

Kuweni wadadisi ila msipotoshe jamii

Ukimwi ni halisi endelea kuchukua hatua.

Kind regards
PM
Hili la kupima lazima ni la kweli mkuu?
 
hii uliyosema ni theory! lakini practical watu huko mikoani wanachangia sana damu za kumuwekea mgonjwa! tena wanakuwa specific kuomba apatikane mwenye group husika la mgonjwa! wakati mwingine damu rasm haipatikani mtu anawekewa Equivalent tu A positive kwa A negative

Sio theory, hiyo inayochukuliwa ni replacement sio damu halisi anayopewa mgonjwa. Hakuna kijiji cha ndani zaidi ya vile nilivyowahi kutembelea. Mnapoambiwa inahitajika damu ya kundi fulani maana yake ni kwamba, pale ndani wana hiyo damu lakini hawataki kuikosa, kwahiyo atakaechangia inahifadhiwa hadi itakapofanyiwa vipimo, lakini mgonjwa anawekewa damu nyingine yenye hilo kundi. Pia kuwekewa mgonjwa damu yenye Rhesus tofauti inawezekana kwa ambae ni positive kuwekewa negative wakati wowote, lakini kwa ambae ni positive haiwezekani, hata ikitokea basi ni mara moja tu maishani mwake.

Haujawahi kusikia mgonjwa anasafirishwa kutoka hospitali moja kwenda nyingine kwasababu hakuna damu ya kundi lake hata kama mchangiaji mwenye kundi lake amepatikana? Kwenye Afya ya binadamu hakuna assumption, Basics zote zinazingatiwa hata kama ni kijiji gani.
 
Nikipita bira kucoment ntakua sijaitendea haki taaluma yangu.
Kwanza mleta mada pole kwa experience yako Kama umekutana nayo bayana . ...mbali na hivyo nikuombe uwe mpole na ukubari kujifunza na kuheshimu taaluma za watu.
Wataalamu wa afya ni watu makini na mara nyingi utenda kazi zao kwa weredi mkubwa kwa kuzingatia evidence based medicine.
Nikijibu maswali yako kwa ufupi ni kuwa , zoezi zima la upimaji Lina miongozo yake.
Ukweli ni kuwa kwa current guideline ya upimaji wa HIV hauitaji kurudia zaidi ya Mara mbili na kipimo cha Kwanza na cha pili hutofautiana kwa week 4 tu, yaaani mwezi mmoja.
Pili ni vizuri kutambua kuwa Kuna kitu kitaalum tunakiita "window period" hiki ni kipindi ambacho toka umepata maambukizo hadi kipindi tunapoweza kugundua Kama umeambukizwa hasa kwa kutumia detection of antibodies against HIV Kutokana na vipimo tunavyovitumia kupima HIV yaaani rapid HIV test (SD Bioline /Unigold). Kwa HIV huwa ni muda wa 2-4wks ndipo mwili utengeneza antibodies dhidi ya HIV , na vipimo tuvitumiavyo ni vile vinavyotest uwepo wa antibodies hizi mwilini .
So unaweza kuwa negative siku ya kwanza kupima ila ukawa positive katika kipimo cha marudio. Ili kuhepuka tatizo hili ndiposa kipimo Cha marudio huwa ni mhimu kufanyika. Hii ni kwa faida ya mgonjwa na jamii kwa ujumla ili kupunguza chance ya kum -lable mtu Yuko negative kumbe Yuko positive, na subsquent consequences unaweza kuzi predict hasa kwa vijana wasio makini Kama mleta mada.
Note: wataalamu wa upimaji uhakikisha wanakupa maelezo ya kuzingatia ndani ya kipindi hicho Cha matazamio ya kipimo Cha pili.
Hata hivyo Kuna kipimo kingine cha PCR ambacho kinaweza kudetect kuwa una HIV ndani ya siku 3 toka umeambukizwa ila kwa bahati mbaya hatuvitumii routinely na havipo kila kituo Cha Afya.
Mwisho, usije ukapotosha umma kuwa damu inayochangiwa na wagonjwa ndo hiyo hiyo huenda kuongezewa mgonjwa direct; La hasha! Damu hiyo hupita katika mchakato wa vipimo mbalimbali Kama HIV na Hepatitis na cross matching ili kujua compatibility.
Mambo haya ni yakitaalamu hivyo mara nyingi hata ukimueleza mgonjwa au ndugu huwa si rahisi kuyaelewa ndiposa layman language utumika ili kutoa ujumbe.
Niitimishe kwa kusema
Ziko faida nyingi kwa kujua hali yako ya maambukizi.
Shime vijana jitokezeni kujua hali zenu.
Kuweni wadadisi ila msipotoshe jamii
Ukimwi ni halisi endelea kuchukua hatua.
Kind regards
PM
Vp suala la kuwapima ukimwi wale wagonjwa mfano wenye hali mbaya ili kutaka kujua kama tatizo ni ukimwi au kumpima mtu ukimwi pasina kumwambia au kwa lazima,je hapa suala la kurudia kipimo linakuaje?
 
Katika maisha yangu nimesoma bible sijaona mahali akisema tukapime hata Maralia
inawezekana walikuwa na kinga ya kudumu

utasikia wamekufa vitani, au mtu akifikia uzee ndio anakufa na sana sana ugonjwa uliokuwa unaaumbua ni ukoma
 
Ahsante ( kwa sauti ya Anna Makinda)
Naomba nitoe ufafanuzi japo kidogo kulingana na uelewa wangu.
Kwanza kabisa naomba nikupe taarifa kwamba kwa muongozo mpya wa NACP, muda wa kusubiri kwa ajili ya kipimo cha marudio ni mwezi mmoja na sio miezi mitatu tena.

Kwanini ufanye kipimo cha marudio?
Ugonjwa wowote, hasa magonjwa yanayoambukiza huwa yana mlolongo wake maalumu wa kuingia mwilini hadi kufikia hatua ya kuleta madhara yanayoonekana (Pathogenesis), na pia magonjwa yote yana kipindi chake maalum inachokuchukua mgonjwa tangu siku umeupata ugonjwa hadi kuanza kuonesha dalili za awali.
Kwa virusi vya Ukimwi inaweza kukuchukua kuanzia wiki mbili hadi miaka kadhaa bila kuonesha dalili.
Kwahiyo tunatakiwa kufanya kipimo cha marudio kwasababu watoa huduma wanakua na imani kwamba huenda usiku kabla ya siku ya kwenda kupima ulifanya mapenzi na mtu anaeweza kuwa muathirika ama siku kadhaa zilizopita na hivyo vile virusi bado havijafikia kwenye hatua ya kutambulika na chembe za mwili, na hivyo haiwezekani kusomeka kwenye kipimo cha kawaida kinachotumika (Bioline). Hivyo tunashauriwa kurudi tena kufanya kipimo cha uhakiki baada ya muda ili kama mwili ulikua haujatambua uwepo wa virusi basi unaweza kuwa tayari umetambua, na katika kuelezwa kuhusu kurudi nina imani unashauriwa usifanye tena ngono zembe na mtu mwingine.

Kuhusu damu kupewa mgonjwa!
Kwanza naomba nikutaarifu kwamba kwa hali ilivyo sasa, hakuna damu inayotolewa kwa mchangiaji na kupelekwa moja kwa moja kwa mhitaji (mgonjwa), damu inapotolewa inahifadhiwa kwenye mifuko maalumu, kisha sampuli ya hiyo damu inachukuliwa na kutumwa kwenye maabara maalumu ya vipimo (CPL) kwa ajili ya utafiti na upimaji wa magonjwa mbalimbali ikiwemo; VVU na homa ya ini. Baada ya vipimo hivyo ndipo majibu ya sampuli hizi hurudishwa vituoni na kuruhusiwa kutumika pale tu inapokua salama.
 
Nikipita bira kucoment ntakua sijaitendea haki taaluma yangu.

Kwanza mleta mada pole kwa experience yako Kama umekutana nayo bayana . ...mbali na hivyo nikuombe uwe mpole na ukubari kujifunza na kuheshimu taaluma za watu.

Wataalamu wa afya ni watu makini na mara nyingi utenda kazi zao kwa weredi mkubwa kwa kuzingatia evidence based medicine.

Nikijibu maswali yako kwa ufupi ni kuwa , zoezi zima la upimaji Lina miongozo yake.

Ukweli ni kuwa kwa current guideline ya upimaji wa HIV hauitaji kurudia zaidi ya Mara mbili na kipimo cha Kwanza na cha pili hutofautiana kwa week 4 tu, yaaani mwezi mmoja.

Pili ni vizuri kutambua kuwa Kuna kitu kitaalum tunakiita "window period" hiki ni kipindi ambacho toka umepata maambukizo hadi kipindi tunapoweza kugundua Kama umeambukizwa hasa kwa kutumia detection of antibodies against HIV Kutokana na vipimo tunavyovitumia kupima HIV yaaani rapid HIV test (SD Bioline /Unigold). Kwa HIV huwa ni muda wa 2-4wks ndipo mwili utengeneza antibodies dhidi ya HIV , na vipimo tuvitumiavyo ni vile vinavyotest uwepo wa antibodies hizi mwilini .

So unaweza kuwa negative siku ya kwanza kupima ila ukawa positive katika kipimo cha marudio. Ili kuhepuka tatizo hili ndiposa kipimo Cha marudio huwa ni mhimu kufanyika. Hii ni kwa faida ya mgonjwa na jamii kwa ujumla ili kupunguza chance ya kum -lable mtu Yuko negative kumbe Yuko positive, na subsquent consequences unaweza kuzi predict hasa kwa vijana wasio makini Kama mleta mada.

Note: wataalamu wa upimaji uhakikisha wanakupa maelezo ya kuzingatia ndani ya kipindi hicho Cha matazamio ya kipimo Cha pili.

Hata hivyo Kuna kipimo kingine cha PCR ambacho kinaweza kudetect kuwa una HIV ndani ya siku 3 toka umeambukizwa ila kwa bahati mbaya hatuvitumii routinely na havipo kila kituo Cha Afya.

Mwisho, usije ukapotosha umma kuwa damu inayochangiwa na wagonjwa ndo hiyo hiyo huenda kuongezewa mgonjwa direct; La hasha! Damu hiyo hupita katika mchakato wa vipimo mbalimbali Kama HIV na Hepatitis na cross matching ili kujua compatibility.

Mambo haya ni yakitaalamu hivyo mara nyingi hata ukimueleza mgonjwa au ndugu huwa si rahisi kuyaelewa ndiposa layman language utumika ili kutoa ujumbe.

Niitimishe kwa kusema

Ziko faida nyingi kwa kujua hali yako ya maambukizi.

Shime vijana jitokezeni kujua hali zenu.

Kuweni wadadisi ila msipotoshe jamii

Ukimwi ni halisi endelea kuchukua hatua.

Kind regards
PM
Your explanations are more of politics!!

Maelezo kama haya huwa yananifanya nisipuuze kabisa hoja za Deception na mwanangu Kaveli.
 
Back
Top Bottom