Utaratibu wa Kupata TIN number kwa foreigner (asie Mtanzania) ni upi?

logframe

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
4,240
5,533
Wakuu, kama heading inasema, naombeni kwa mtu wa jinsi hiyo anaipateje? Namaanisha documents za kubeba kuenda nazo kwa TRA.
Ahsante.
 
Wakuu, kama heading inasema, naombeni kwa mtu wa jinsi hiyo anaipateje? Namaanisha documents za kubeba kuenda nazo kwa TRA.
Ahsante.
Awe na kibali cha kuishi nchini
Awe na kibali cha kufanya kazi nchini
Awe na mkataba wa makazi usiopungua mwaka mmoja
Awe na anuani
Nakala ya passport
 
Awe na kibali cha kuishi nchini
Awe na kibali cha kufanya kazi nchini
Awe na mkataba wa makazi usiopungua mwaka mmoja
Awe na anuani
Nakala ya passport
Ahsante sana mkuu Mshahana, Ubarikiwe sana.
Kwahiyo Copy zote hizo zitabaki pale TRA?
 
Awe na kibali cha kuishi nchini
Awe na kibali cha kufanya kazi nchini
Awe na mkataba wa makazi usiopungua mwaka mmoja
Awe na anuani
Nakala ya passport
Samahani, mkataba wa makazi ni upi?
 
Back
Top Bottom