Watumishi wa TRA Shinyanga kitengo cha TIN number wanawasumbua wateja

Kiongozi Miongoni

Senior Member
Feb 6, 2021
197
255
Katika mizunguko yangu ya hapa na pale nilifika katika ofisi za mamlaka ya mapato Tanzanian TRA mkoa wa Shinyanga nikiwa na shida ya kupata TIN number kwa ajili ya matumizi yangu nikiwa nimeambatana na baadhi ya wafanyazi katika kampuni yangu.

Nilimkuta dada mmoja ana kauli mbaya sana, ana majivuno, anawajibu watu jinsi anavyotaka lakini zaidi ya yote anafanya kazi kwa taratibu sana huku mda mwingi akiongea na simu tena akiongea maswala ambayo siyo ya kazi.

Siku hiyo sikuweza kupata TIN na ilinibidi niondoke baada ya kukaa hapo ziadi ya masaa manne.

Kesho yake nilirudi nikakutana na dada mwingine ambaye pia ana tabia kama za yule wa mwanzo tena kibaya zaidi huyu ana hata kisilani kwa wateja. Siku hiyo pia sikufanikiwa kupata TIN baada ya kuambiwa kuwa information zangu zimetumwa Dar HQ kwa ajili ya kutengezewa TIN ,hii ni baada ya awali kutumia passport yangu ya kusafiria kutengeneza driving license.

Siku ya ijumaa na leo jumatatu nimeenda pia na bado nimeendea kukumbana na vikwazo vile vile na nimeshuhudia pia wafanyazi hao wakiendelea kuwasumbua wateja.
 
Pole sana,sasahv wanafanya kazi kwa mazoea,kipindi cha jpm hawakua hivo.
 
Wadada asilimia kubwa sijawahi waelewa kwenye huduma kwa wateja.

NB : Nothing personal.
 
Daaah Raisi hawezi wafanya kitu kwa sasa subir awamu nyingine rais mwingine huyu ni ke
 
Katika mizunguko yangu ya hapa na pale nilifika katika ofisi za mamlaka ya mapato Tanzanian TRA mkoa wa Shinyanga nikiwa na shida ya kupata TIN number kwa ajili ya matumizi yangu nikiwa nimeambatana na baadhi ya wafanyazi katika kampuni yangu.

Nilimkuta dada mmoja ana kauli mbaya sana, ana majivuno, anawajibu watu jinsi anavyotaka lakini zaidi ya yote anafanya kazi kwa taratibu sana huku mda mwingi akiongea na simu tena akiongea maswala ambayo siyo ya kazi.

Siku hiyo sikuweza kupata TIN na ilinibidi niondoke baada ya kukaa hapo ziadi ya masaa manne.

Kesho yake nilirudi nikakutana na dada mwingine ambaye pia ana tabia kama za yule wa mwanzo tena kibaya zaidi huyu ana hata kisilani kwa wateja. Siku hiyo pia sikufanikiwa kupata TIN baada ya kuambiwa kuwa information zangu zimetumwa Dar HQ kwa ajili ya kutengezewa TIN ,hii ni baada ya awali kutumia passport yangu ya kusafiria kutengeneza driving license.

Siku ya ijumaa na leo jumatatu nimeenda pia na bado nimeendea kukumbana na vikwazo vile vile na nimeshuhudia pia wafanyazi hao wakiendelea kuwasumbua wateja.
Bila Shaka hao wafanyakazi ni wachaga na wanachama wa ccm wanatafuta upigaji
 
Kwanini usiombe TIN online? siku hizi wamerahisisha hamna haja ya kwenda ofisini.
 
Back
Top Bottom