Utaratibu wa Kuomba ruhusa bila malipo


King Sammy

King Sammy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Messages
369
Likes
302
Points
80
Age
25
King Sammy

King Sammy

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2013
369 302 80
Habari za muda huu wapendwa!
Nina swali moja kuhusu taratibu za kuomba ruhusa bila malipo au kusitisha ajira kwa muda ili baadae ni'resume' ajira yangu serikalini. Kufuatia sintofahamu ya ajira nimefikiria kuingia sekta binafsi kwa muda ambapo itanilazimu kusaini mkataba wa mpaka miaka miwili.

Sasa incase kama ajira zikitoka katikati ya kipindi cha mkataba nilikua nafikiria kuripoti kituo cha kazi halafu niombe ruhusa ndefu mpaka pale mkataba wangu utakapoisha huku kwenye sekta binafsi. Hivyo naombeni utaratibu wa kufanikisha hilo halafu au kama kuna ushauri mbadala wa kufanikisha hilo naomba mnipatie.Asanteni
 

Forum statistics

Threads 1,272,590
Members 490,036
Posts 30,454,479