Wanalala Shinyanga kwani mabasi ya Dar yanaingia Mza saa 2 asubuhi kesho yakeMkuu kwani Siku hizi hawalali tena Shinyanga?
Mbona Nzega ni mbali?
Halafu Kuondoka Dar Wameshaanza SAA 11alfajiri? Au ni SAA. 12 alfajiri?
Means km kuna dereva wa ziada anashindwaje kumalizia kipande cha toka Shy to Mza kwa siku hiyo?Ukizingatia from Shy to Mza ni masaa mawili na nusu tu au matatu?
Ni heri mtu afike Mza saa 8 usiku ili km ni kulala stand alale kwa hiari yake ila km hataki anaweza kuchukua taxi na kulala kwake