jamago2015
New Member
- Mar 24, 2016
- 1
- 2
Kuna utaratibu uliozoeleka kwa taasisi za serikali kuita wasailiwa wengi kwa nafasi moja.Utaratibu huu binafsi naona hauna tija zaidi ya kuongezea gharama kubwa wasailiwa.Kwa mfano unakuta usaili unafanyika Arusha na mtu anayefanyiwa usaili anatoka mkoa wa Mwanza lakusikitisha mwisho wa siku mtu anashindwa kupata ajira hiyo hasara nani anayeweza kuifidia.
ushauri wangu vyombo vinavyohusika kwenye kutoa ajira viweke vigezo ambavyo vitatoa nafasi ya kuita wasailiwa wachache.
ushauri wangu vyombo vinavyohusika kwenye kutoa ajira viweke vigezo ambavyo vitatoa nafasi ya kuita wasailiwa wachache.