Utaratibu wa kuishi na wake wengi.

jf user

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
777
622
Habari MMU.
Binafsi husikia watu waliooa wake wawili, watatu, wanne na kuendelea ila sijui nana wanavyoishi.
Je kila mwanamke ana nyumba yake? je wanaishi ndani ya nyumba moja?

Mengine
1/Hao wake hawaoneani wivu labda Fulani anapendwa Zaidi, au ni mzuri Zaidi?
2/Kugawana mali, gharaa za matunzo, na shughuli nyingine inakuaje?
3/Wakati wa mgegedo inakuaje? ni kila mwanamke kwa wakati wake au ni wote kwa pamoja kwa maana hiyo ni mambo ya three some, four some n.k
4/Mwanaume huwezi zidiwa kuwaridhisha wote? kwa sababu wote wanaweza kuwa wanataka kwa wakati mmoja sasa ikakusumbua mtu mzima?
5/Wakati wa kupika chakula unakuwaje kkw hao wanawake?
6/Kuandika urithi inakuwaje kwa hao wanawake hasa pale unapokua umezaa na wanawake wote?
 
Hutegemea na kipato husika cha mume wao, wengine huwapangia kila mke mji wake, wengine hukaa nao under the same roof, wengine hulala kitanda kimoja tena cases za hivi nimezisikia sana

Hakuna kiumbe kisicho na wivu, of course dini imeruhusu wake zaidi ya wawili lakini asikwambie mtu ukishajua mme wako ana mke mwengine zam zifate sema utafanya nn aheri kafanya halal, kurithiana mali yategemea na mali alizokua nazo mume na namna alivyozigawa au kugaiwa kwa mujib wa taratibu zilivyo

Wanawake wao wenyewe watapangiana kama wanakaa sehem moja bas chakula kikipikwa n hikohiko wanasaidiana tu kama wako mji tofauti mume lazima aweke zam siku nne kwa b mkubwa siku nne kwa bi mdogo hivohivo
 
Aisee
 
Muhim mme awe na kipato cha kuwatosheleza wakeze wote na anatakiwa akitoa sumni huku atoe sumni kwa wengine hakuna kupendelea
Inategemea

Haina maana akitoa mia kwa huyu,basi atoe mia kwa yule

Hapana

Ikiwa mmoja katika wake zake,anafamilia kubwa(watt),na mke mwengine hana watt au ana mtt mmoja tu,Basi haki hapo
Ni kupeleka hitajio kwa yule mwenye watt wengi kama ipasavyo,mfano kitoweo cha nyama,anapeleka kilo 2,na kwa mwenye mtt mmoja,anapeleka kilo moja

Huu ndio usawa
na sio kusema,Mke wa kwanza,ana watt 6,na mke mdogo hana
Basi apeleke kilo 2 kule,na kwa mke mdogo pia kilo 2
Hapana
haina maana hiyo
 
Kubwa tu kwake

Awe muadilifu kwa wote,katika mgao wa zamu,kadhalika katika mahitaji ya kila siku

na haina maana,moyo wake,utawapenda wake wote kwa sawa
Hapana,
lazima moyo,utamili kiasi fulani kwa mmoja
ila tu,udhaifu huu,usimuendeshe na kumfanya kuwasaliti wengine,kadhalika asi uoneshe kwa wake zake waziwazi,kwamba anampenda fulani zaidi ya wote

Na hapo ndio mwanzo wa Ugomvi baina ya wana familia

Allah anajua zaidi
 
Inategemea

Haina maana akitoa mia kwa huyu,basi atoe mia kwa yule

Hapana

Ikiwa mmoja katika wake zake,anafamilia kubwa(watt),na mke mwengine hana watt au ana mtt mmoja tu,Basi haki hapo
Ni kupeleka hitajio kwa yule mwenye watt wengi kama ipasavyo,mfano kitoweo cha nyama,anapeleka kilo 2,na kwa mwenye mtt mmoja,anapeleka kilo moja

Huu ndio usawa
na sio kusema,Mke wa kwanza,ana watt 6,na mke mdogo hana
Basi apeleke kilo 2 kule,na kwa mke mdogo pia kilo 2
Hapana
haina maana hiyo
Namanisha akiwa wakeze wanalingana kihali si anapaswa kutoa nusu kwa nusu??? Asante kwa kunisahihisha
 
Kiuhalisia

Mume ndio nguzo kuu katika familia,na yeye ndio mwenye kusimamia amani baina ya pande zote kwa uadilifu
Akitengeneza yeye,Basi familia itatengenea
Akiharibu yeye,basi familia haitakuwa na Future njema
 
Hii ni mbaya kuliko unavyofikiria

Jiulize swali Chief
Ikiwa mke wako wa halali,ana mchepuko!!!
ww utajisikiaje?!!!
Ukiwa na mchepuko Bro,basi fahamu mkeo pia huenda akawa nae
Na siku ukijua kuwa mkeo ana mchepuko,Basi usimpige usimtukane usimkasirikie wala kumuacha.
Kwasababu ww ndio Mwalimu wake Mkuu

Tulia na mke wako,na kuwa mwaminifu mbele ya Mola wako,kisha mbele ya Mke wako
Huwezi,Basi ongeza mke wa pili,Ikiwa imani yako inakuruhusu hili
Hiyo sio nzuri sana, nzuri hii ya kuwa una mke mmoja afu pembeni una michepuko 6 Maisha fresh kabisa
 
Back
Top Bottom