Nilitegemea na hilo kua essential, lkn dada hapo juu kasisitiza Sana kipato.Nguvu Kadhalika
Usiwe mchovu katika uwanja
Madame umetoa mfano mzuri wa sumuni ambayo kimsingi hatunayo kwa sasa,Muhim mme awe na kipato cha kuwatosheleza wakeze wote na anatakiwa akitoa sumni huku atoe sumni kwa wengine hakuna kupendelea
Kwa majumuisho na kujiepusha na haya uliyoyasema sisi wakristo tunasema Mme mmoja Mke mmoja,Kubwa tu kwake
Awe muadilifu kwa wote,katika mgao wa zamu,kadhalika katika mahitaji ya kila siku
na haina maana,moyo wake,utawapenda wake wote kwa sawa
Hapana,
lazima moyo,utamili kiasi fulani kwa mmoja
ila tu,udhaifu huu,usimuendeshe na kumfanya kuwasaliti wengine,kadhalika asi uoneshe kwa wake zake waziwazi,kwamba anampenda fulani zaidi ya wote
Na hapo ndio mwanzo wa Ugomvi baina ya wana familia
Allah anajua zaidi
Habari MMU.
Binafsi husikia watu waliooa wake wawili, watatu, wanne na kuendelea ila sijui nana wanavyoishi.
Je kila mwanamke ana nyumba yake? je wanaishi ndani ya nyumba moja?
Mengine
1/Hao wake hawaoneani wivu labda Fulani anapendwa Zaidi, au ni mzuri Zaidi?
2/Kugawana mali, gharaa za matunzo, na shughuli nyingine inakuaje?
3/Wakati wa mgegedo inakuaje? ni kila mwanamke kwa wakati wake au ni wote kwa pamoja kwa maana hiyo ni mambo ya three some, four some n.k
4/Mwanaume huwezi zidiwa kuwaridhisha wote? kwa sababu wote wanaweza kuwa wanataka kwa wakati mmoja sasa ikakusumbua mtu mzima?
5/Wakati wa kupika chakula unakuwaje kkw hao wanawake?
6/Kuandika urithi inakuwaje kwa hao wanawake hasa pale unapokua umezaa na wanawake wote?
Kwa majumuisho na kujiepusha na haya uliyoyasema sisi wakristo tunasema Mme mmoja Mke mmoja,
Kujiolea mke zaidi ya mmoja ujiandae na haya makwazo, na Biblia inasema Makwazo hayana budi kuja, lakini Ole wake anaeyasababisha, Ukweli ni kwamba huwezi kuwatendea Equally wote, It is impossible
Uwezo ninaousemea n ule wa kuwawezesha wakaishi vizur bila tatizo huwezi kuoa mke ukamweka ndani usimpe kula mpaka unaoa means majukum kamaa mume kama baba uayawezaMadame umetoa mfano mzuri wa sumuni ambayo kimsingi hatunayo kwa sasa,
Kwa hiyo kama mwanaume hana kipato cha kuwatosheleza hatakiwi kuoa wake zaidi ya mmoja ?, mimi nadhani Quran imesema mwanaume akiwa rijari wa kutosha anaweza kujiolea wake kadri apendavyo, kipato ni matokeo, kwa hiyo maskini wasioe ?. kwa sababu naambiwa maskini huwa wana nguvu za kiume za kutosha
Unaoa sababu ya kipato? Jibu utakalopata ndio hilo nasemea waweza kua na kipato lakn mambo mengine hamna hapo ni itakuaje?So kesi kubwa ni kipato Tu ambacho wanawake wanahitaji!?
Duh!
Tubarikiwe wote zaidi, karibu mkuuUpo sawa Madame S
Ubarikiwe sana
Hivi hata kama una kipato cha kutosha unaweza kuoa wanawake watatu au wanne halafu huna uwezo wa kuwatimimizia mahitaji yao ya unyumba !!, hao wanawake si wataenda kukusanya Ukimwi nje wakuletee hapo chumbani kwako ?, wanawake mnawajua ?,Unaoa sababu ya kipato? Jibu utakalopata ndio hilo nasemea waweza kua na kipato lakn mambo mengine hamna hapo ni itakuaje?
Uwezo ninaousemea n ule wa kuwawezesha wakaishi vizur bila tatizo huwezi kuoa mke ukamweka ndani usimpe kula mpaka unaoa means majukum kamaa mume kama baba uayaweza
Sawa!Hutegemea na kipato husika cha mume wao, wengine huwapangia kila mke mji wake, wengine hukaa nao under the same roof, wengine hulala kitanda kimoja tena cases za hivi nimezisikia sana
Hakuna kiumbe kisicho na wivu, of course dini imeruhusu wake zaidi ya wawili lakini asikwambie mtu ukishajua mme wako ana mke mwengine zam zifate sema utafanya nn aheri kafanya halal, kurithiana mali yategemea na mali alizokua nazo mume na namna alivyozigawa au kugaiwa kwa mujib wa taratibu zilivyo
Wanawake wao wenyewe watapangiana kama wanakaa sehem moja bas chakula kikipikwa n hikohiko wanasaidiana tu kama wako mji tofauti mume lazima aweke zam siku nne kwa b mkubwa siku nne kwa bi mdogo hivohivo
Najaribu kufikiria mwanaume anayeishi mjini na kaoa wake watatu, na kila mke ana watoto watatu na wote wanaishi nyumba ya kupanga!Hutegemea na kipato husika cha mume wao, wengine huwapangia kila mke mji wake, wengine hukaa nao under the same roof, wengine hulala kitanda kimoja tena cases za hivi nimezisikia sana
Hakuna kiumbe kisicho na wivu, of course dini imeruhusu wake zaidi ya wawili lakini asikwambie mtu ukishajua mme wako ana mke mwengine zam zifate sema utafanya nn aheri kafanya halal, kurithiana mali yategemea na mali alizokua nazo mume na namna alivyozigawa au kugaiwa kwa mujib wa taratibu zilivyo
Wanawake wao wenyewe watapangiana kama wanakaa sehem moja bas chakula kikipikwa n hikohiko wanasaidiana tu kama wako mji tofauti mume lazima aweke zam siku nne kwa b mkubwa siku nne kwa bi mdogo hivohivo