Utaratibu wa ku-sign kwanza ndio mpewe boom unaofanyika UDOM, bodi wanautambua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utaratibu wa ku-sign kwanza ndio mpewe boom unaofanyika UDOM, bodi wanautambua?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by KWETU PAZURI, Mar 1, 2012.

 1. K

  KWETU PAZURI Senior Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kama kuna anaejua atujuze
   
 2. G

  GHANI JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 685
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hii kali mkuu, sijapata onaa.kitu hua kinaingizwa direct mkuu.
   
 3. Anita Baby

  Anita Baby JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 1,202
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Hu mwaka balaa! C wenyewe 2nasain.
   
 4. K

  KWETU PAZURI Senior Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni usumbufua wa hali ya juu,.uongozi wa kile chuo ni mbovu sijapata kuona, wanafunzi wa pale wanasema msipoitwa kusaini boom ujue hamna kitu, semista iliyopita bodi ilileta boom chuoni katkat ya mwez wa 12 lkn wanafunz walipata fedha zao katkat ya january.
   
Loading...