Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,506
- 113,627
Mkuu kwa kutumia IQ yako kubwa hebu tusaidie muungano mbao hauna mkataba wenye sifa za mkataba wa kisheria unavunjwa vipi? Maelezo mafupi tafadhali.
ipigwe vita tuu..atakayeshinda achukue kipande chote...na kukifanya chake bila muunganiko wa karatasi.Zenj igawanywe vitalu mtanzania mwenye uwezo wa kuendeleza apewe,asiye na uwezo apewe pori bara na nyumba.....10yrs biashara za akina Barubaru zinaisha.
Hawa jamaa wavivu sana ndio maana wana muda wa kuchagua hadi chakula wasichoweza nunua........wanasiasa wao wamewaprogramm vibaya hadi kuwaharibu kwa uongo na kuwapa rushwa ya chakula.
Madeni mnamwachia nani kama kila mtu anaenda kwao? Na amini lazima kuwe na utaratibu.
Pasco unaniangusha kwenye kiswahili. umelitumiaje neno "dhima" mahala pa "dhana"
halafu unaandika maelezo mengi huku ukiujua ukweli kuwa IQ ya ndugu zako watanzania majority ni ndogo ku-condense hayo maelezo ili waipate point yako!!!!!
Ungewaambia pia kuwa sifa nyingine muhimu kabisa ya mkataba ni kuwa na kipengele kinachoruhusu kuu-review mkatba wenyewe (kuuhuisha).
Muungano huu uvunjike si tu kwa Zanzibar bali hata na watu wa Kilimanjaro, Arusha na Tanga watengwe kwa kupewa madaraka kamili ya nchi yao ili wasiendelee kuwakera watawala wetu waliotukuka na ambao kila kukicha wanawabagua watu wa kaskazini! Nchemba, Nape na CCM yote fanyeni kweli kaskazini ijitenge...
Mbona tunambiwa mchele wa mbeya, viazi akukweti, nyanya, vitunguu nk, vina soko kubwa huko Znz.
Ni mmoja kati ya waliokatibiana kukataa kutekeleza mojawapo kati ya makubaliano yao ama kuyakataa makubaliano yao yoooote. hapo patano linakuwa halipo tena na mkataba unavunjika.
Je hilo likitokea mashirika kana imf yaliyo ikopa Tz yatamdai nani madeni yao?
Hii poa kweli kwa hiyo mimi naona hii ya weza kuwa sababu ya msingi kuuvunja huu muungano hasa tukiangalia mzigo wa madeni tulio nao kama Tz.
Tuuvunje muungano tupate muda wa kutafakari kuwa tunauhitaji, wakati tumeuvunja madeni nayo yatakufa. Baadaye tukiona tuna uhitaji tunaungana tena kwa jina lingine na tunakopa upya.
Hizo ndio aina ya kensa yenu, Wadandanyika? Sisi kule maradhi haya hatari tunayapiga vita sisi wenyewe hatukai kwenye vyombo vya habari na kuitaka serikali iondoe kensa hizo! Ni ushauri tu!​
Sikujua unazungumzia Tanzania.
Kwanza ieleweke, Muungano wenu ulivunjika siku Zanziba walipoiandika na kuihalalisha Katiba yao. Siku ile walipouzindua wimbo wa Taifa lao, siku ile walipoipandisha Bendera ya Taifa lao.
Tanganyika wakaachiwa jina kuubwa, Tanzania na bendera na wimbo wao. Tanganyika tukaachwa kwenye mataa. Jina kuubwa bila nchi.
Hakuna Muungano bila Zanziba. Siku moja Mh. Pinda akaulizwa swali bungeni; Je Zanziba ni nchi au?? Akagwaya mazima.
Hatuna Muungano hivyo ilitakiwa kabla ya kuandika katiba ya Muungano tuwaulize wananchi wa hizi nchi mbili, Mwataka muungane?? Kile kilichowafanya Nyerere na Karume wauwaze muungano, hivi kweli bado kipo??
Wanaoushabikia muungano wa Tz ni wale wanaoufaidi tuu yaani wanaokula matunda ya juu.
Siwezi kushangaaa km unaamini hivyo.KM PIA MNAAMINI KUWA MAENDELEO YA DUNIA YOTE YALIIBWA KUTOKA KTK AL-KITAB ,sasa itakuweje kwa hili kuwa nyie mna akili kuliko bara.
Sasa km hamjaweza hata kulima migomba hata ktk kiwango cha msingi kabisa ni vipi mnasema mmestaarabika kihivyo?
Wazenj mnaogelea ktk upuuzi sana ,hembu tembeeni kidogo muone msibaki danganywa kihivyo na hao jamaa wakishashindwa na kupigwa chini ndipo wanakuaj ktk mtego wa muungano.
Ndo maana unagombana na vijana wa Madrasa. .wakija hapa na style yao ya kukupa ilmu.Sisi wengine wenye kupenda weupe na ule ubwete wa Zanzibar tutaathirika!, maana kwenda huko sasa itakuwa kuingia kwa viza na mpaka uwe na passport!. Du! Itakuwa shida!.
Happy New Year
Pasco
Hao ni wale vizalia, jamii zao zinaruhusu wao kwa wao, waliponidhania na mimi kuwa nimepitamo, ilikuwa shida, japo niliwahakikishia sijapita popote, wazimu uliisha wapanda, wakawa hawasikii la muadhini wala la mnadi swala, ni wao na mimi, nilipowauliza kama wanajua Wataliano wanawafanza nini dada zao, hawakujali kisa Wataliano weupe!. Kiukweli twende mbele turudi nyuma, muungano ukivunjika, wao ndio watakao athirika na kuadhirika!.Ndo maana unagombana na vijana wa Madrasa. .wakija hapa na style yao ya kukupa ilmu.
Ahsanta
kwanza kwa muundo uliopendekezwa ni wazi muungano hautadumu kwani chini ya muundo tulionao kuna mambo mengi yalikuwa yakimezewa lakini baada ya kuwa na serikali tatu sidhani kama watanganyika watakubali kuwa wao wakatazwe kumiliki ardhi zanzibar wakati wenzao wanakuja huku na kujitwalia maeneo
Hili limezingatiwa na rasimu na bado kuna kipengele ambacho kinasema panapo sababu maalum hili linawezekana kuendelea na Watanganyika wakalikubali. Chukulia mfano wa maeneo yanayotengwa kama hifadhi jee unafikiri wananchi hawataki kuishi maeneo hayo?
,gharama za muungano ni wazi tanganyika watakataa kubeba mzigo huo watataka kila nchi ichangie sawa kwa sawa jambo ambalo Zanzibar hawataweza
Naona unasahau kuwa nchi kama nchi lazima iwe na mambo ya kuyahudumia na hili si kwa Tanganyika pekee au Zanzibar na huduma hizo zikiwepo kwenye muungano basi kila mmoja atalipia kiasi anachotumia na wala usitegemee Zanzibar inayohitaji polisi wachache itowe gharama sawa na nchi inayohitaji mara 40 ya pilisi kuliko Zanzibar
maadamu tumeungana Wazanzibar watataka wawe na uwakilishi sawa kwenye bunge na nafasi nyingine za muungano sasa
Rasimu imeona hilo na uwakilishi utategemea utaratibu utakaokubalika
nini kitatokea iwapo muungano utavunyika mambo kama madeni au mikopo ya toka mashirika kama IMF itagawanywa kwa kuangalia mgawo wa pato la Taifa
Rasimu inapendekeza uhusiani wa kimataifa na mamlaka yatakuwa si mambo ya muungano na ikibidi serikali ya muungano kukopa basi tutapigiana hesabu kwa mujibu wa matumizi ya mkopo huo. Msingi wa kila kitu ni faida inayopatikana kwa idadi ya watumizi.
Mwisho ingawa hakijawekwa kipengele cha kuvunja muungano lakini kuna mambo yatakayotokea kutakuwa hamna namna nyingine ila kuvunja muungano kama nchi moja ikishindwa kuchangia gharama za serikali lazima nchi nyingine itakataa lakini pia kuna za mashirika mbalimbali kama jumhiya ya afrika mashariki,au,sadc na hata umoja wa mataifa pia kila nchi itabidi zijitegemee kama mnakumbuka kuna kipindi Gadaf ilibidi alipie baadhi ya nchi za Afrika ambazo nyingi zilishindwa kulipia ada zake ,ada za mashirika kama sumatrakilamtu atajilipia

Inaonyesha huna uwezo wa kushangaa kwa vile akili yako imeathirika na jambo fulani. Una maana huko kwenu Tanganyika hakuna Waislamu na kama wapo wanatumia Kitabu gani? Hujioni mpuuzi kuwa badala ya kutowa hoja unarukia mambo ya kipuuzi?
sasa tuseme huko kulima ndio maendeleo mbona mnakufa kwa njaa na hujasikia watu kufa kwa njaa Zanzibar. Umesahau historia kuwa Zanzibar wanao watu wa kuwalimia wanaotoka makwao kwenye neema na maendeleo? Acha upuuzi na towa hoja!