fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,724
- 2,627
Habari wakuu,
Napenda kuuliza wadau wa elimu humu kwamba inawezekana mtu kurudia upya kufanya mtihani wa QT?
Kwa maana kwamba tayari alishafanya QT mwaka 2015 na akafaulu target yake ilikua afanye mtihani wa kidato cha nne. Sasa ikatokea hakufanya huo mtihani wa kidato cha nne ndani ya kipindi cha miaka mitano.
Iwapo taratibu zinasema aliyefanya QT na kufaulu ataruhusiwa kufanya mtihani wa kidato cha nne ndani ya kipindi kisichozidi miaka mitano tu. Je, anaweza kurudia QT ili ndoto yake ya kufanya Pepa ya form 4 itimie kwakua mwaka huu system imemkataa maana ni miaka 6 ishapita.