Utaratibu ukoje kuhusu hili la kufanya mtihani wa QT?

fundinaizer

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
1,716
2,598
Habari wakuu,

Napenda kuuliza wadau wa elimu humu kwamba inawezekana mtu kurudia upya kufanya mtihani wa QT?

Kwa maana kwamba tayari alishafanya QT mwaka 2015 na akafaulu target yake ilikua afanye mtihani wa kidato cha nne. Sasa ikatokea hakufanya huo mtihani wa kidato cha nne ndani ya kipindi cha miaka mitano.

Iwapo taratibu zinasema aliyefanya QT na kufaulu ataruhusiwa kufanya mtihani wa kidato cha nne ndani ya kipindi kisichozidi miaka mitano tu. Je, anaweza kurudia QT ili ndoto yake ya kufanya Pepa ya form 4 itimie kwakua mwaka huu system imemkataa maana ni miaka 6 ishapita.
 
Aanze upya. Arudie mtihani wa Qt.

Yah. Wahi usajili tarehe ya mwisho ni 28 february ina maana ijumaa mwisho
Anhaaa! inakubalika kufanya hivyo mkuu?..

Kwamba unaruhusiwa kufanya tena mtihani wa QT kama ulishawahi ufanya ila ikatoe scenerio kama hiyo?
 
Kama ulifanya mtihani wa QT ukafauru hakuna haja yakurudia huo mtihani wa QT cha msingi jisajiri mtihani wa kidato cha nne kama PC ukitumia number yako ya QT 2015
Mfumo hauruhusu sahivi, ni miaka mitano baada ya QT. Anyway Kesha jisajili QT upya atafanya mwaka huu.!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom