Utaratibu huu wa kusheherekea siku ya kuzaliwa! Je ni ujanja au ni ushamba?

Ujinga huu sitak kuuskia mie.. Nishampiga mtu kichwa kwa masuala haya ya kipumbav, samahan tukaenda kuombeana hospital huko, akiwa anashnwa nyuzi 4.. Sipend ujinga na masuala yasiyo na kichwa wala miguu
 
Nadhani hapa Wabongo huwa tunakosea. Mimi mwenyewe sisherekei hiyo siku haina maana kwamba ni haramu ila ni utaratibu niliojiwekea. Kama ameamua kufanya hiyo kitu yeye na ndugu,rafiki na jamaa zake na havunji sheria yoyote ile ya nchi wala hakwazi shughuli zako za kila siku kwanini ukwazike. Maisha ni kuwa na furaha. Kama mtu kufanya party ndio furaha yake mwacheni. Tatizo nini?
 
Back
Top Bottom