Utaratibu huu wa kusheherekea siku ya kuzaliwa! Je ni ujanja au ni ushamba?

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
602
1,454
Hivi karibuni Watz tumekuwa na tabia ya kuiga mambo mengi sana kutoka kwa wazungu

Lakini kwa jambo hili hata wazungu wenyewe sijawahi kuwaona wakilifanya
Nadhani huu ni mtindo wetu mpya wa vijana wa kitanzania kusheherekea siku ya kuzaliwa
1481610737720.jpg
 
Ni mahali pengine ambapo Wazungu wametuweza ni utumwa wa fikra.
 
Ni ushamba tu na upumbavu wa kuiga wasivyovujua, mwingine hats birthdays amezijulia ukubwani basi inapokaribia anaanza kukumbusha watu waandae zawadi its a shame!
 
Hivi karibuni Watz tumekuwa na tabia ya kuiga mambo mengi sana kutoka kwa wazungu

Lakini kwa jambo hili hata wazungu wenyewe sijawahi kuwaona wakilifanya
Nadhani huu ni mtindo wetu mpya wa vijana wa kitanzania kusheherekea siku ya kuzaliwa
View attachment 445603
Hizo mambo zipo muda mrefu sana Kemp, tumezifanya sana, nahisi mnaziona kipindi hiki
 
Hivi ikitokea Ukaambiwa huo mwaka unaosherehekea ndio wa mwisho utashangilia?
 
Huo ni Utumwa Mamboleo Mkuu!!

Watu weusi tunapenda Sana Sherehe kuliko kufanya kazi na matokeo yake ndiyo haya hivyo binafsi yangu hivi vitu huwa havinipi stress Kabisa.
 
Birthday, send off, harusi, sherehe ya ubatizo, mahafali na takataka nyingine kama hizo ni ushamba na ulimbukeni tu. Zinapoteza muda na fedha nyingi bila faida yoyote. Why tusichangie mambo ya msingi kama elimu, bàrabara, madaraja, afya nk? Afrika sijui tuna laana gani!
 
Back
Top Bottom