halafu wanalazimisha kuvuta hata kama hutaki. wanaudhi sana. zile break down asilimia kubwa zinamilikiwa na maaskari so dili kama hilo wanakula pasu. Mi walikuja na mikwa ya laki moja themanini lakini waliambulia arobaini tu. mia
Nani alikwambia kwamba breakdown zinasajiliwa na SUMATRA? Au kwa vile unachuki binafsi na SUMATRA, basi kila linalokupata barabarani basi ni wao.