Utaratibu gani wanatumia Break down?

Dengue

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
1,815
1,032
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza viwango vya gharama za wamiliki wa breakdown wanapangiwa na Sumatra au wanaweka wenyewe kiholela.

Inapotokea umepata ajali hawa jamaa huwa wanakutajia bei kubwa sana kwa ajili ya kuvuta gari yako. Na hufanya hivi kwa kukuona umeshachanganyikiwa huwezi patana tena.
 
HIMARS

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
45,828
46,510
Hakuna kitu hapo kwani wewe wamekutajia tsh ngapi hebu tueleze ili tujue na tulinganishe na bei za wengine.
Dealers wao nima trafic police
 
figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
20,339
26,358
halafu wanalazimisha kuvuta hata kama hutaki. wanaudhi sana. zile break down asilimia kubwa zinamilikiwa na maaskari so dili kama hilo wanakula pasu. Mi walikuja na mikwa ya laki moja themanini lakini waliambulia arobaini tu. mia
 
Dengue

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
1,815
1,032
Hakuna kitu hapo kwani wewe wamekutajia tsh ngapi hebu tueleze ili tujue na tulinganishe na bei za wengine.
Dealers wao nima trafic police

Rafiki yangu alipata ajali KIPAWA akaachajiwa Laki tatu hadi Biguruni kituon.
 
Dengue

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
1,815
1,032
halafu wanalazimisha kuvuta hata kama hutaki. wanaudhi sana. zile break down asilimia kubwa zinamilikiwa na maaskari so dili kama hilo wanakula pasu. Mi walikuja na mikwa ya laki moja themanini lakini waliambulia arobaini tu. mia

Wapuuzi sana wale jamaa.
Kumbe kiburi wanakipata kutoka kwa hao trafiki.

Hapo hapo wanakuibia taa,redio na vitu vingine vya kwenye gari.
 
katalina

JF-Expert Member
Apr 4, 2012
262
52
Nani alikwambia kwamba breakdown zinasajiliwa na SUMATRA? Au kwa vile unachuki binafsi na SUMATRA, basi kila linalokupata barabarani basi ni wao.
 
MLERAI

JF-Expert Member
Apr 4, 2012
668
271
Ni kweli tunapaswa kujua huu mradi upo chini ya nani na gharama za kuvuta gari nani anapanga.Gharama zao zipo juu sana zinaongeza machugu ya ajali.
 
Dengue

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
1,815
1,032
Nani alikwambia kwamba breakdown zinasajiliwa na SUMATRA? Au kwa vile unachuki binafsi na SUMATRA, basi kila linalokupata barabarani basi ni wao.

Ishu sio chuki na Sumatra ila wao ndio wanaohusika na kupanga hata mambo ya nauli na gharama nyengine za vyombo vya majini na nchi kavu kama haya mabreak down
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom