Utapeli waanza idara ya uhamiaji

Utapeli waanza idara ya uhamiaji

mgonjwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
514
Reaction score
223
Baada ya kutolewa majina kwa ajili ya usaili leo ya ma kostebo na ma koplo na majina yao kuwekwa na namba za simu matapeli wameanza kupiga simu na kuomba uwepe chochote akusaidie ufaulu usahili huo.

Mi nimepigiwa simu tano tofauti zikiniomba nitume pesa napate kushinda usaili. Kuweni makini vijana wote mliobahatika kuitwa kwenye usaili kwani idara haina utaratibu wa kupiga simu kabisa.

Wazee wa fursa noma.
 
ndugu yangu mgonjwa hongera sana , kwakuwa nawe jina lako limetoka ila nakuomba hayo majina ya walioitwa yahifadhi ili wataoitwa kazini tuone je walikuja kwenye usaili? wathibitishie ugonjwa wako kabla ujaenda depo ila hongera saaana
 
hatimaye emanuel thomas aitwa tena jamaa ni noma achague kunyoa ama kusuka

Cc. Tmajuto

Hapo ndo utajua kwa nini mtu mmoja aweza chukua mishahara miwili au mitatu katika wizara moja na wasimtambue. Ni kweli bado tuna vilaza wengi tanzania hasa ktk ofisi za serikali. HAIINGII AKILINI KABISA.

CCM HOYEEEEE....
 
kwaiyo hao vigogo ndugu zao hawaishi, kwani wewe hapo hapo wizarani ulipataje au ndio tuseme bahati inausikaa?
 
Back
Top Bottom