Ngojanitasafir kesho kutw walai natoka singida kwenda dar ctaguza chakula Cha mtu manina zaoPesa ilivyokuwa ngumu....
Nilisafiri kutoka dar Kuja Musoma.. njiani kwenye vituo vta miji mbalimbali wauzaji wa vyakula wamekuwa sio waaminifu kabisa...
Dodoma nauziwa kuku wanasema ni wa kienyeji kumbe ni kuku wa mayai aliyekomaa na kushindikana...... Inapokuwa safarini usinunue kuku.....
Maeneo mengine unauziwa vyakula kwa bei ya dhambi ... maandazi yaliyochoka kwa kuchanganya na ya juzi yake kwa bei ya shilingi 1000 na hapo unaambiwa kila kitu Cha kutafunwa Bei iko juu ukipata bahati utaona na Kama ukitembeabuku... Yaani chai buku, andazibuku, kitumbua buku, chips kavu 3000 ... Utapeli huu unazidi kuenea tuwe màkini tunapokuwa safari
Nakumbuka Dodoma waliniuzia Viazi vya moto lakini havikuchomwa vizuri kumbe vilichemshwa na kuchovywa kwenye mafuta, nilichukua sahani mbili kwa ajili ya mlo wa safarini (mchana), hatimaye nilivirusha dirishani! [emoji3064][emoji3064][emoji3064]Pesa ilivyokuwa ngumu....
Nilisafiri kutoka dar Kuja Musoma.. njiani kwenye vituo vta miji mbalimbali wauzaji wa vyakula wamekuwa sio waaminifu kabisa...
Dodoma nauziwa kuku wanasema ni wa kienyeji kumbe ni kuku wa mayai aliyekomaa na kushindikana...... Inapokuwa safarini usinunue kuku.....
Maeneo mengine unauziwa vyakula kwa bei ya dhambi ... maandazi yaliyochoka kwa kuchanganya na ya juzi yake kwa bei ya shilingi 1000 na hapo unaambiwa kila kitu Cha kutafunwa Bei iko juu ukipata bahati utaona na Kama ukitembeabuku... Yaani chai buku, andazibuku, kitumbua buku, chips kavu 3000 ... Utapeli huu unazidi kuenea tuwe màkini tunapokuwa safari
Toka Sgd we choma kuku kienyeji pale hata nusu tu na viepe kavu au ndizi. Ukifika Bahi tafuna shusha maji bongo hii hapa.Ngojanitasafir kesho kutw walai natoka singida kwenda dar ctaguza chakula Cha mtu manina zao
Lakini ni halali kutokana hadhi ya hotel yenyew anayowapeleka dereva mfano Cate hotel morogoro kuna gharama nyingi wewe mwenyewe utaona kwanz vyoo visafi muda woteTatizo ni madereva na makondakta wenye ma bus ndiyo wanatuuingiza huko kisa wao wanakula fresh meals tena bure kabisa! Kuna siku nilijichanganya na madereva wa ma bus nami nikapewa Msosi fresh! Abiria pls tukataeeni huu ukiritimbaa nawaoomba!!
Singida mwaka 2006 sijui kama hawakuniuzia ndege JOHN [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Pia kuku wengi ni wale vibudu,