ChescoMatunda
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,232
- 443
...Wewe Unatafuta kazi. Hivi unaambiwaje utoe shilingi Laki 7 na Nusu kununulia KINASA SAUTI kabla hata hujaona Mshahara wa kwanza wa kazi uliyoajiriwa, na Unakubali???
Si Bora hela ndefu hiyo ungeifanya mtaji na kutafuta biashara ya kufanya??
Tatizo Vijana wetu wanapenda sana Kuajiriwa na Sio Kujiajiri ndio maana Maumivu haya yataendelea Kuwapata wengi!!!
Haya, ajii-investigate mwenyewe sas ili kugundua ni kwa nini ametapeliwa Kirahisi na Kijinga Hivyo!!
Inatia Hasira sana yaani.:angry:
Hahahahaha teh teh teh eeee samahani BabaDesi wewe ulipigwa changa lile la deci au mfanano jina tuu lol. .
Last edited by a moderator: