jakarason1974
Senior Member
- Apr 3, 2012
- 103
- 50
HII NI ORODHA YA WALIOCHANGIA MAAFA TETEMEKO KAGERA!Mimi Mkazi wa Tandahimba vijijini bado natafakari kama Kikundi cha watu wengeomba michango kupitia mgongo wa changia Mahafa KAGERA halafu baadae wakazitumia tofauti na ilivyokusudia.. Hope sasa watu wengekua jela na wangeitwa MATAPELI.. Ila serikali ya Awamu ya Tano ikitumia michango tofauti na ilivyokusudiwa wanapigiwa makofi na kusifiwa....
Vitajenga miundombinu watu wajijengee wenyewe ndio hali ilivyoHII NI ORODHA YA WALIOCHANGIA MAAFA TETEMEKO KAGERA!
1. Mkombozi benki mabati na saruji mil 203
2. Rais Uhuru Kenyata mashuka na mablanketi mil 200
3. Serikali ya Korea Mil 108
4. Serikali ya Uingereza bil 6
5. Askofu Mkuu wa EAGT, Dkt Brown Mwakipesile mil 10
6. Lowassa mil 20
7. Mbowe mil 5
8. Dr. Wilfred Lwakatare mil 80 harambee
9. Waziri Mkuu wa INDIA NARENDRA MODI na serikali yake mil 545
10. Mch; King James wa kanisa la P.A.G Kahororo Kyamaizi Bukoba mil 3
11. Mkurugenzi wa kiwanda cha Magodoro Dodoma, Haidary Gulamali, magodoro 200 yenye thamani ya shilingi milioni 10
12. Bi. Anna Jiang wa Kampuni ya Chang Qing International
Investiment Limited magodoro 200 yenye thamani ya 6,000,000
Tani 2 na nusu za mchele na mablanketi 100 thamani ya 162
12. United States of America BIL 5.4
13. Jasem Al-Najeola balozi wa Kuwait dola Marekani 33,000
14. Waziri wa Afrika Mashariki wa Burundi, Leontine Nzeyimana alikabidhi msaada ulitolewa na nchi hiyo ni mchele tani 100, mahindi tani 50, sukari tani 30 na majani ya chai tani tatu.
15. Raisi Yoweri Museven, Tshs Milioni 430 kupitia serikali
16. Jokate Mwegelo kushirikiana na GSM Foundation Tanzania magodoro 200
17. Said Salim Bahresa mil 100
18. Reginald Mengi mil 110
19. BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR MIL 30
20. Tigo Mifuko ya saruji 2424 yenye thamani ya Sh mil 40
21. UWT- Chama cha Mapinduzi mkoa Kagera mifuko ya saruji 200
22. Kiwanda cha saruji cha CAMEL CEMENT cha jijini Dar es salaam mifuko 1000 ya saruji
23. Caspian, Omid Karambech aliyetoa sh.mil 190
24. Kiongozi wa Madhehebu ya bohora mil usd 250
25. Bavicha mil 7
26. Balozi Kagasheki mil 5
27. Uvccm mwanza mil 3
28. Mch Dr. Getrude Lwakatare mil 10
SWALI JE HIVI VYOTE VIMEWAFIKIA WAHANGA???
Sijaona jina la mwenyekiti wa CCM kama mwenyekiti kachanga sh ngapi au zake ni siri.HII NI ORODHA YA WALIOCHANGIA MAAFA TETEMEKO KAGERA!

Mbona simple wangekuwa watu binafsi tungewaita matapeli, kwa vile ni serikali itaitwa serikali ya kitapeli.Mimi Mkazi wa Tandahimba vijijini bado natafakari kama Kikundi cha watu wengeomba michango kupitia mgongo wa changia Mahafa KAGERA halafu baadae wakazitumia tofauti na ilivyokusudia.. Hope sasa watu wengekua jela na wangeitwa MATAPELI.. Ila serikali ya Awamu ya Tano ikitumia michango tofauti na ilivyokusudiwa wanapigiwa makofi na kusifiwa....
Mimi Mkazi wa Tandahimba vijijini bado natafakari kama Kikundi cha watu wengeomba michango kupitia mgongo wa changia Mahafa KAGERA halafu baadae wakazitumia tofauti na ilivyokusudia.. Hope sasa watu wengekua jela na wangeitwa MATAPELI.. Ila serikali ya Awamu ya Tano ikitumia michango tofauti na ilivyokusudiwa wanapigiwa makofi na kusifiwa....
Kwenda zako Nyumbu Gamba Mkubwa wewe.Laana itawafata wote walioamua hizi pesa kuwa za sandakarawe. Sema ni kwasababu hii nchi haina wsnasheria wa wananchi, waliopo ni kwa ajiri ya wanasiasa na kutetea matumbo yao. Laiti tungekuwa na wenye kusimama badala ya jamii basi hii kesi ingekuwa ndo mwanzo wa mwisho wa mfumo huu wa kimabavu na uonevu.
Kumbe michango ya waathirika hutumika kujenga miundombinu,kumbe basi tuombe matetemeko yatokee mengi ili nchi ijenge miundombinu mingi tuepukane zaidiMimi Mkazi wa Tandahimba vijijini bado natafakari kama Kikundi cha watu wengeomba michango kupitia mgongo wa changia Mahafa KAGERA halafu baadae wakazitumia tofauti na ilivyokusudia.. Hope sasa watu wengekua jela na wangeitwa MATAPELI.. Ila serikali ya Awamu ya Tano ikitumia michango tofauti na ilivyokusudiwa wanapigiwa makofi na kusifiwa....