atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,545
- 9,774
Nimeona channel 10 wakimzungumzia huyo tapeli anaitwa somebody Laizerkuna jamaa yangu mmoja aliagiza na hao hao Real Motors wa Tz,aliagiza gari aina ya mitsubishi Outlander 22M wakamtapeli badala yake wakamletea fun cargo.
kumbe walitapeliwa wengi wenzake wote walikuwa 8 hawakupata kabisa magari ni bora hata yeye aliletewa hiyo Funcargo.
wateja wote 8 walitapeliwa jumla ya 108M.
Alafu ananambia kuwa jamaa haogopi chochote walipofika polisi anawaambia polisi eti wampeleke mahakamani na hela hana ameshatumia.
Hii ilikuwa mwezi wa March 2023 kesi sijui imeishia wapi.
hao ni matapeli kweli kweli.
