Bryce mziba
Member
- Jul 20, 2018
- 22
- 8
Nakuunga mkono mimi natumia kikuu ni mwaka wa sita huuKikuu ni waamimifu mwezi ulopita niliagiza vitu vya kama 150000 yaani hakuna kilichopungua. Sema vilichelewa kidogo kama mwezi hivi badala ya wiki mbili walizonambia.
Shukuran MkuuKununua au kuagiza kitu online kunahitaji umakini mkubwa sana, kuna mambo mengi sana unatakiwa kuangalia kabla ya kuagiza.
Kwa mfano:-
-Je huyo seller ana muda gani tangu aanze hio biashara
-Reviews zake zikoje kwa watu ambao walishawahi kununua kutoka kwake
Na mengine mengi.. hutakiwi kukurupuka hata kidogo kabla ya kununua chochote online.
Kuna page nyingi sana instagramKwanza kabla hujanunua kitu online ni vizuri kufanya utafiti umfahamu huyo unaetaka kufanya nae biashara.Ikiwezekana uulize kama kuna yeyote amewahi kufanya biashara na mtu huyo wa online au kampuni hiyo.Tatu ukiwa na njema ya kuutaadharisha uma ni vizuri ukatuambia ni site gani hiyo uliyoingizwa mjini
Mimi huwa naangalia kwenye comments tu..pages za kitapeli utakuwa wamezima au ku restrict comment section! Au unaweza kukuta anacomment mtu mmoja tu, kwa kila post! Ukiona hivyo achana na page hiyoKuna page nyingi sana instagram
Kuna jamaa anatumia account ya @Rashid_Electronics ni jambazi tapeli