hadidurejea
JF-Expert Member
- Jun 19, 2019
- 262
- 380
Kuna siku nilikuwa namsikiliza Dr mmoja nadhani Itv sikumbuk vizuri alisema vipimo vya UTI ni siku saba, basi kama kupigwa watu wamepigwa sana aisee, maana ukienda maabara ukisema tu najisikia hivi na hvi cha kwanza pima mkojo namshukuru Mungu huo ugonjwa umenipita mbali Mungu aendelee kunipigania
Hukumsikiliza vizuri.
Urine C/S ndio siku saba ( na preliminary results at 48 hours).
Na mpaka hii iwe ordered ni kama unapata reccurent UTI au kama dalili zinaendelea baada ya kuanzia dawa, vinginevyo the simple routine urinalysis inatosha ( kikubwa collection ya sample ya mkojo ifanyike kwa usahihi wake).