Utapeli vipimo vya U.T.I na typhoids

Utapeli vipimo vya U.T.I na typhoids

Huu mwaka sasa umeisha kila nikipima malaria hakuna na mbu wananing'ata kishenzi, ila UTI haiishi, juz tu ndo naambiwa sina UTI,, yaaaan
me malaria kila siku sina ajabu hata mwezi uloisha jimeambiwa sina uti
 
Miaka michache ilopita nilikuwa na nesi moja rafiki yangu kipenzi, anafanya kazi ktk hospitali moja private mmiliki wake ni dr mstaafu toka serikalini....... Siku moja nikamwambia huyu rafiki yangu nije hospitali yenu nikafanyiwe vipimo. Akasema km utakuja kwa mengine njoo lakini naomba usije kwa vipimo kwa sababu bos wetu haruhusu kukuambia ukweli wa maradhi yako. Unaweza ukapimwa ukawa haumwi lakini utaambiwa una typhoid, au brucellosis au uti nk. Ili ufanyiwe matibabu feki, ukapigwa sindano za maji matupu na kupewa antibiotics kwa gharama kubwa..... Amri ya dr hataki yeyote aliyekuja aondoke eti hana ugonjwa haumwi. Anasema ntawalipaje km nyie mnawaambia wateja hamna ugonjwa?
 
KWANINI WAKINYWA DAWA WANAPONA Kwa vipimo hivyohivyo? Muulizeni waziri swali hili!
maana AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO!!
Na hata usipokunywa dawa unapona kama kawaida
 
Dah
Miaka michache ilopita nilikuwa na nesi moja rafiki yangu kipenzi, anafanya kazi ktk hospitali moja private mmiliki wake ni dr mstaafu toka serikalini....... Siku moja nikamwambia huyu rafiki yangu nije hospitali yenu nikafanyiwe vipimo. Akasema km utakuja kwa mengine njoo lakini naomba usije kwa vipimo kwa sababu bos wetu haruhusu kukuambia ukweli wa maradhi yako. Unaweza ukapimwa ukawa haumwi lakini utaambiwa una typhoid, au brucellosis au uti nk. Ili ufanyiwe matibabu feki, ukapigwa sindano za maji matupu na kupewa antibiotics kwa gharama kubwa..... Amri ya dr hataki yeyote aliyekuja aondoke eti hana ugonjwa haumwi. Anasema ntawalipaje km nyie mnawaambia wateja hamna ugonjwa?
Ni hatari kabisa....
 
Kuna siku nilikuwa namsikiliza Dr mmoja nadhani Itv sikumbuk vizuri alisema vipimo vya UTI ni siku saba, basi kama kupigwa watu wamepigwa sana aisee, maana ukienda maabara ukisema tu najisikia hivi na hvi cha kwanza pima mkojo namshukuru Mungu huo ugonjwa umenipita mbali Mungu aendelee kunipigania
 
Sure,

Watu tuweni makini hasa kwenye private hospitals
 
Back
Top Bottom