Utapeli!utapeli!

Utapeli!utapeli!

Tapeli Mwingine Yupo Ubungo Maji Tabia Yake Yeye Hukodi Bodaboda Ukimfikisha Tu Anaanza Kukwambia Ooh Mwenzio Hapa Sna Hela Kwakuwa Aliyemfuata Hayupo Nitakurushia Kwa Tigo Pesa, Dada Huyo Nikibonge Jina Lake Berna Kessy Namba Yake Ya Sim 0656 274026 ni hatari, amewaliza wengi
 
Wabongo wengi tunajifunza kutokana na makosa.
Poleni sana kwa yaliyo wakuta,kumbuka kumsahe huyo dogo.

Aksante mkuu,dogo nimemsahe anaendelea na kazi kama kawa.Hizi ni issue za kawaida tu mkuu kwenye sayari yetu
 
dogo alitaka awapige akazidiwa kete. halafu ninavyokujua wewe dogo lazima ulimkata mshahara na karipio kali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom