Utapeli!utapeli!

Utapeli!utapeli!

Dj mat

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
747
Reaction score
476
Ndugu wana Jf,
Wasalaam!
Wiki mbili zilizopita kuna wateja wawili (mbongo na mzungu) walikuja dukani kwangu mda wa saa mbili na nusu usiku.Wakiwa ndani walivutiwa na microwave na Oven zilizokuwepo dukani.Wakakubaliana bei na dogo aliyekuwepo dukani siku hiyo zote kwa pamoja Tsh 560,000.
Wkt wote wa majadiliano kati ya dogo na mbongo yule mzungu alikuwa anajifanya ana haraka sna na alimtaka jamaa yke aliyefuatana nae amalizane na dogo yy alipe waondoke.
Mbongo akamwambia dogo bei waliyokubaliana afanye Tsh 600,000 kisha amtumie pesa iliyozidi kwa mpesa.
Baada ya mzungu kuambiwa bei akasema atalipa kwa foreign currency [€] coz hakuwa na Tsh.
Baada ya dogo kucheck ex rate akalipwa €300 jamaa wakachukua mzigo wao wakasepa hata risiti walikataa.
Dogo aliponiletea hesabu ya siku na kushika zile foregn currency mara moja nilitambua ni FEKI,hata baada ya kuzihakiki tena kwenye machine kesho yke zilitemwa nikajua tayari nimeshapigwa.

Angalizo:
Sio kila mtu anayekuja dukani/kwenye biashara yko ni raia mwema.Wengine ni matapeli tu haijalishi kama ni mzungu,mchina,mbongo e.t.c.nawasihi muwe waangalifu msije pigwa kama mm.
 
kaka utapeli mwingine ni wa kujitakia tu, sasa huyo dogo wako aliamini kupokea pesa asizozijua kwa sababu katoa Mzungu?
 
Cha ajabu dogo hakunijulisha kama kuna wateja wanataka kulipa kwa foreign currency.Alivyomuona mzungu hakufikirisha akili yke, isitoshe jamaa walikuwa wanajifanya wana haraka sna.
 
Huyo dogo ulimtoa wap?

Mkuu Oyono hata ww unaweza tapeliwa,hapa mjini ukishikana mikono na mtu usiyemfahamu inakula kwako.Ni vigumu sna kuweza tambua fake notes esp,foreign currency kama hujawahi kuzichezea!
 
Wabongo wengi tunajifunza kutokana na makosa.
Poleni sana kwa yaliyo wakuta,kumbuka kumsahe huyo dogo.
 
Pole sana mkuu mwambie dogo awe kama mimi nisiye mwamini mtu yeyote zaidi ya M ungu.... kwa hiyo dogo ukqmfanyaje?
 
pole mkuu, ila ndio changamoto. nadhani umejifunza na umetufundisha wengine.
 
kaka utapeli mwingine ni wa kujitakia tu, sasa huyo dogo wako aliamini kupokea pesa asizozijua kwa sababu katoa Mzungu?

Usimlaumu dogo watanzania wengi tunawaamini sana wazungu.. Dj mat pole sana kaka
 
Asante usimlaumu dogo hapo hata mimi ningeingia, si unajua kizungu tena!!! wazungu wengi sio matapeli
 
Ndugu wana Jf,
Wasalaam!
Wiki mbili zilizopita kuna wateja wawili (mbongo na mzungu) walikuja dukani kwangu mda wa saa mbili na nusu usiku.Wakiwa ndani walivutiwa na microwave na Oven zilizokuwepo dukani.Wakakubaliana bei na dogo aliyekuwepo dukani siku hiyo zote kwa pamoja Tsh 560,000.
Wkt wote wa majadiliano kati ya dogo na mbongo yule mzungu alikuwa anajifanya ana haraka sna na alimtaka jamaa yke aliyefuatana nae amalizane na dogo yy alipe waondoke.
Mbongo akamwambia dogo bei waliyokubaliana afanye Tsh 600,000 kisha amtumie pesa iliyozidi kwa mpesa.
Baada ya mzungu kuambiwa bei akasema atalipa kwa foreign currency [€] coz hakuwa na Tsh.
Baada ya dogo kucheck ex rate akalipwa €300 jamaa wakachukua mzigo wao wakasepa hata risiti walikataa.
Dogo aliponiletea hesabu ya siku na kushika zile foregn currency mara moja nilitambua ni FEKI,hata baada ya kuzihakiki tena kwenye machine kesho yke zilitemwa nikajua tayari nimeshapigwa.

Angalizo:
Sio kila mtu anayekuja dukani/kwenye biashara yko ni raia mwema.Wengine ni matapeli tu haijalishi kama ni mzungu,mchina,mbongo e.t.c.nawasihi muwe waangalifu msije pigwa kama mm.

Kwa kisa hiki aliyelizwa ni wewe haswa. Tena aliyekuliza ni huyo dogo unayemuamini hapo dukani kwako. Hebu mbane vizuri atakueleza nini amafanya!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom