Makaanji
Member
- Jan 1, 2013
- 45
- 17
Kuna watu wapo pale maeneo ya Tank bovu kama unaenda Tegeta.Hawa jamaa wanataka kuwapiga pesa sana watu.kwani wameandaa hostel kwa ajili ya watafuta kazi,kila siku unalipia 1000 kwa wiki tatu,then ada ya fomu ni sh 50000.harafu wanakwambia tutakutafutia kazi,basi hapo utakaa mpaka basi hakuna cha kazi wala nini? na hela yako watu wamepiga tayari