Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Hata mi bado shost namba yangu ya sim ipo anonymous ndo uzuri wake siitoi hovyo...Walokuwa na namba yangu nawajua kwa idadi!!naishi na watu yameshawatokea watu wengi kwani wewe hujawah kukutana na story kama hii?