Utapeli mtandaoni: Matapeli wanajuaje namba ya Siri?

Nilikuwepo hapo hayo yote yakiendelea. Alitoa simu akampa, yule Kaka akajifanya anapiga then akasema haupatikani akarudisha Simu. Akashuka akisema anaenda maramoja kununua vocha. Asante ntakucheck
Huenda huyo jamaa alimtumia IT man hiyo namba ya mama yako,
 
Mkuu Grena naomba kuuliza maswali mawili.
1. Hiyo simu ni smartphone au hizi za kawaida?
2. Kama ni smartphone, App ya tigopesa imekua istalled na inatumika kwenye simu hiyo?
 
Basi halina ccctv camera kwani.
Ukimuazima simu mtu mpige picha Kama ni mhalifu atagoma Kama ni kweli ana shida hawezi goma pigwa picha
 
Ukimpa au ukiuza smart phone faster badili namba za siri.wajanja wanayo mbinu ya kupitia touch screen wanayo namna ya kuinasa namba ijirudiayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…