Hakufanya muamala wowote. Simu ilikuwa kwenye pochi alivyomuomba akatoa akampa. Na hatumfahamu tulimkuta kwenye bus, nadhani ndo Kazi yake kujifanya abiria Halafu anatapeli kwa staili HiyoHapo kama mama alifanya muamala wowote akiwa kwenye gari jamaa atakua alichungulia akaona password.
Njia nyingine huyo mwizi anamfahamu huyo mama na anajua namba yake ya siri.
Tumepiga hawana msaada wowote. Wamesema hela ishatolewa hawawezi fanya chochote. Kama tunataka zaidi twende policeWaliotoa shs ngapi? Mngepiga simu tiGO huduma kwa wateja muhifaamu hiyo namba iliyotoa pesa.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Nendeni makao makuuu.Tumepiga hawana msaada wowote. Wamesema hela ishatolewa hawawezi fanya chochote. Kama tunataka zaidi twende police
Unajua hizi smart phone Mara nying zinaweka mambo hadharani bila sisi wenyew kujua. Kupitia Keyboard za simu, zina tabia ya ku-save maneno tunayotumia Mara kwa mara, zinasave hadi password muhimu.Aisee wezi wamechachamaa ila kuna namna mama alitoa namba za siri bila yeye kujua au laini ilikua mpya namba zake za siri "0000" ????
Nilikuwepo hapo hayo yote yakiendelea. Alitoa simu akampa, yule Kaka akajifanya anapiga then akasema haupatikani akarudisha Simu. Akashuka akisema anaenda maramoja kununua vocha. Asante ntakucheckMama asijifanye kuzuga zuga. Kuna jambo la siri aliongea na huyo mpambanaji.
Mi mwenyewe niliwahi pigwa na mtu kwa sim banking laki 2 na 30, nikafanikiwa kuokoa laki 2.
30 ikaenda lakini nikamshika hawara wa mwizi wangu baada ya miezi mitatu.
Aende polisi aripoti hio namba iliopigwa kisha kitaeleweka.
Kama uko Dar nicheki 0744033555
Cha muhimu uje namba iliopigwaNilikuwepo hapo hayo yote yakiendelea. Alitoa simu akampa, yule Kaka akajifanya anapiga then akasema haupatikani akarudisha Simu. Akashuka akisema anaenda maramoja kununua vocha. Asante ntakucheck
Mkuu hebu ongeza nyama kwenye huu mkasa wako maana inaonekana kuna kitu cha kujifunza hapa.Mama asijifanye kuzuga zuga. Kuna jambo la siri aliongea na huyo mpambanaji.
Mi mwenyewe niliwahi pigwa na mtu kwa sim banking laki 2 na 30, nikafanikiwa kuokoa laki 2.
30 ikaenda lakini nikamshika hawara wa mwizi wangu baada ya miezi mitatu.
Aende polisi aripoti hio namba iliopigwa kisha kitaeleweka.
Kama uko Dar nicheki 0744033555