Utapeli mpya unaohusisha wanasiasa

Utapeli mpya unaohusisha wanasiasa

marksalewi

Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
96
Reaction score
25
Leo mchana nilitembelea kwenye ukurasa wangu wa facebook nikaona Mh. Zitto Kabwe ameandika kwenye ukurasa wake kuwa mikopo ya vikoba itawasaidia Watanzania wengi na kumhusisha mh. Rais kuwa ametoa pesa kwa ajili ya kuwasaidia wajasilia mali wadogo wadogo. Pia wameonesha mh. Lowassa akifungua taasisi hiyo katika picha kwenye magazeti ya habari leo na uhuru.

Nimetuma pesa sh. 500,000/- baadaye kidogo wakanipigia kuwa wameipata wanashughulikia mkopo wangu. Aliyepiga kwanza ni mwanaume. Baada ya kama nusu saa akapiga msichana Akaniambia natakiwa nitume 105000/- kwa ajili ya kiingilio kwenye hiyo saccos na mkopo wangu upo tayari na kuwa niitume ili wanitumie huokopo.

Ikumbukwe masharti ya mkopo yalikuwa ni kiasi utakachoweka kama dhamana utapewa mara kumi yake. Na ni kuanzia 500,000/- mpaka 1,000,000/-. Niliwaamini kwa vile Niliona viongozi wakubwa katika nchi hii wamehusika na pia magazeti ya chama na serikali yameonesha mh. Lowasa akifungua hiyo taasisi.
 
Toka lini CCM na wasaliti wakaaminika?
 
Ni afadhali umeliona hilo la sasa kwani lipo na litaendelea kuwepo kwenye utawala huu ambapo sheria ziko jela
 
DECI nyingine imeanzishwa? Watanzania tuwe makini, na umasikini wetu tutaendelea kuchojolewa.
 
Leo mchana nilitembelea kwenye ukurasa wangu wa facebook nikaona Mh. Zitto kabwe ameandika kwenye ukurasa wake kuwa mikopo ya vikoba itawasaidia Watanzania wengi na kumhusisha mh. Rais kuwa ametoa pesa kwa ajili ya kuwasaidia wajasilia mali wadogo wadogo. Pia wameonesha mh. Lowassa akifungua taasisi hiyo katika picha kwenye magazeti ya habari leo na uhuru. Nimetuma pesa sh. 500,000/- baadaye kidogo wakanipigia kuwa wameipata wanashughulikia mkopo wangu. Aliyepiga kwanza ni mwanaume. Baada ya kama nusu saa akapiga msichana Akaniambia natakiwa nitume 105000/- kwa ajili ya kiingilio kwenye hiyo saccos na mkopo wangu upo tayari na kuwa niitume ili wanitumie huokopo. Ikumbukwe masharti ya mkopo yalikuwa ni kiasi utakachoweka kama dhamana utapewa mara kumi yake. Na ni kuanzia 500,000/- mpaka 1,000,000/-. Niliwaamini kwa vile Niliona viongozi wakubwa katika nchi hii wamehusika na pia magazeti ya chama na serikali yameonesha mh. Lowasa akifungua hiyo taasisi.
Kabla ya kutuma hiyo 500000 ungetuuliza kwanza wana JF, UMESHAPIGWA HIYO MKUU
 
Huyo jamaa nikimgia bado anapatikana kwenye cmu yake. Maombeni ushauri nitafanyaje ili akamatwe?
 
Huyo jamaa nikimgia bado anapatikana kwenye cmu yake. Maombeni ushauri nitafanyaje ili akamatwe?

Nenda central polisi pale wana kitengo cha cyber crime watakusaidia ingawa nao watataka hela pia ndo maisha yalivyo
 
Muda si mrefu nimewapigia wameniambia watatuma saa nne ila wapo bussy sana. Msaada nawezaje kuwanasa?
 
Leo mchana nilitembelea kwenye ukurasa wangu wa facebook nikaona Mh. Zitto kabwe ameandika kwenye ukurasa wake kuwa mikopo ya vikoba itawasaidia Watanzania wengi na kumhusisha mh. Rais kuwa ametoa pesa kwa ajili ya kuwasaidia wajasilia mali wadogo wadogo. Pia wameonesha mh. Lowassa akifungua taasisi hiyo katika picha kwenye magazeti ya habari leo na uhuru. Nimetuma pesa sh. 500,000/- baadaye kidogo wakanipigia kuwa wameipata wanashughulikia mkopo wangu. Aliyepiga kwanza ni mwanaume. Baada ya kama nusu saa akapiga msichana Akaniambia natakiwa nitume 105000/- kwa ajili ya kiingilio kwenye hiyo saccos na mkopo wangu upo tayari na kuwa niitume ili wanitumie huokopo. Ikumbukwe masharti ya mkopo yalikuwa ni kiasi utakachoweka kama dhamana utapewa mara kumi yake. Na ni kuanzia 500,000/- mpaka 1,000,000/-. Niliwaamini kwa vile Niliona viongozi wakubwa katika nchi hii wamehusika na pia magazeti ya chama na serikali yameonesha mh. Lowasa akifungua hiyo taasisi.

Kama unawaamini hao CCM utaendelea kutapeliwa tu!

Pole lakini!
 
Kwel wajinga ndio waliwao.....mm walitaka kunichota akil nikawastukia mapemaaa...hakuna taasis ya fedha inayotoa mkopo bila dhamana yakueleweka....na hakunaga mkopo kwa njia rahisi kias icho.....

Piga moyo konde na ujiambie hakunaga ela za kirahc ivooo
 
Habari leo jmani. Kuna siku niliripoti hapa Jf kuhusu utapeli. Sasa leo na muda huu wamerudi tena kwenye mtandao wa facebook kwa kutumia ukuraaa wa zitto kabwe kama pale awali. Mwenye ufahamu awasaidie wtz wasiendelee kutapeliwa.
 
Back
Top Bottom