Teh...kaambiwa ni promosheniHaahaahaaa! Yaani mfanyabiashara ananunua bidhaa zake kwa mmachinga? Halafu ananunua wembe anasubiri zawadi ya fridge? Hakika hiki ni kituko.
Itakuwa TEKKU alumniUnaweza kuta huyo jamaa anayenunua wembe ili apate tv,ni graduate wa chuo kikuu.
😂 😂 😂 😂Unaweza kuta huyo jamaa anayenunua wembe ili apate tv,ni graduate wa chuo kikuu.
kuna utapeli unafanyika na wamachinga wanaotembeza bidhaa za wembe kwenye maduka kwa kudanganya kuna promotions za kampuni husika, wanalaghai wateja kuwa ukinunua bidhaa hiyo unapata zawadi ya TV; Fridge ; nk . ukishanunua hizo bidhaa wanaondoka na hakuna cha zawadi na simu hawapokei! imagine umenunua bidhaa za laki moja za wembe utauza mpaka lini ziishe! tunaomba popote pale wakipita madukani wakamatwe maana wameshatapeli maduka mengi sana jirani yangu ametapeliwa juzi
Mi sijawai sikia kisa hiki. Ilikuaje akakopesha picha ya gari!?Kama yule aliyekopesha pombe ya shilingi laki tano kwa kuangalia picha ya gari lenye thamani ya shilingi milioni 600 alilodai kuwa nalo huyo mkopaji. Halafu huo si ujinga, ni upumbavu kabisa.
Pia nahisi huwaga ni mchongo maana maduka makongwe huwaga hawagusi..Ila ni washenzi,yaani unauziwa wembe za laki moja?
Mlalamikaji alimkopesha tapeli mmoja pombe yenye thamani ya sh laki tano kwa jamaa aliyemwonyesha picha ya gari analodai kumiliki lenye thamani ya shilingi milioni 600. Uzi wake aliupa jina "Jihadhari na Tapeli Huyu"Mi sijawai sikia kisa hiki. Ilikuaje akakopesha picha ya gari!?
Hahahahaha...Nyolea mpaka ufe na wajukuu watarithi nao wanyolee.
Hahahaa mkuu hata mimi ilinikuta Mwanza mwaka 2017 maelezo yalikuwa kama yako. Nikachukua dazani 2 akawa ananilazimisha kuchukua dozeni 10 eti siku ya kuleta friji na Tv wateja watakuwa wengi nashukuru Mungu sikuongeza nikalizwa hizo dazani 2Hii kitu ilinikuta Mwanza mwaka 2016,,walikuja wawili kwenye kioski then wakatoa maelezo kama yote na bonus za matangazo kupitia gari lao LA kampuni ya gillete siku wakileta fridge,tv pamoja na bango lenye jina langu + discounts lakini kwanza kwa hiyo siku nichukue dozen 8 na nilipie ili niingizwe kwenye orodha kamili..
Aseemoyo uliona ndo bahati yenyewe lakini roho ilikataa maana ukiwacheki wenyewe wamepauka mbaya then ubongo ukanikumbusha kutokukubali kupokea nguo toka kwa mtu aliye uchi
Kaka hatari..hizi biashara za duka zina majaribu kinoma yaani unatapeliwa na mtu usiyemdhania kabsa kumbe mwenzako yupo kazini kama kazi zingineHahahaa mkuu hata mimi ilinikuta Mwanza mwaka 2017 maelezo yalikuwa kama yako. Nikachukua dazani 2 akawa ananilazimisha kuchukua dozeni 10 eti siku ya kuleta friji na Tv wateja watakuwa wengi nashukuru Mungu sikuongeza nikalizwa hizo dazani 2
Halafu wanakuuzia bei ya kampuni 9000 wakati liberty huwaga 6000...lakini kwa uchu wa TV, fridge na pango LA tangazo lenye jina lako mfano( Chief M-255 shopping centre),mbona utanunua nyembe za kutosha!!!!!!Hahahaa mkuu hata mimi ilinikuta Mwanza mwaka 2017 maelezo yalikuwa kama yako. Nikachukyua dazani 2 akawa ananilazimisha kuchukua dozeni 10 eti siku ya kuleta friji na Tv wateja watakuwa wengi nashukuru Mungu sikuongeza nikalizwa hizo dazani 2
unashindwa nini kumkamata na kumtengua nyonga?kuna utapeli unafanyika na wamachinga wanaotembeza bidhaa za wembe kwenye maduka kwa kudanganya kuna promotions za kampuni husika, wanalaghai wateja kuwa ukinunua bidhaa hiyo unapata zawadi ya TV; Fridge ; nk . ukishanunua hizo bidhaa wanaondoka na hakuna cha zawadi na simu hawapokei! imagine umenunua bidhaa za laki moja za wembe utauza mpaka lini ziishe! tunaomba popote pale wakipita madukani wakamatwe maana wameshatapeli maduka mengi sana jirani yangu ametapeliwa juzi