Utapeli kwenye mitandao

Kumbila medi

Member
Joined
May 31, 2017
Posts
99
Reaction score
69
Hivi hawa jamaa wanaofanya wizi mitandaoni huwa wameadvance kiasi gani!?
Maana hawa watu wana uwezo wa kufoward meseji hewa kwa wakala na kufanikiwa kumuibia wakala pesa.

Tena wakati mwingine wakishakufowardia ukijaribu kuingia kwenye menyu kuuliza salio inakujibu INVALID.

Naomba kujua ni mbinu ipi wanaitumia kufanya UDANGANYIFU huo kwa mawakala?
Nawasilisha kwenu wataalam wa mitandao mnisaidie please...!
 
wana jf kwa anayefaham atoe msaada
 
Unataka kujua kwa nia ipi, nia njema au ovu? Maana isije ikawa ni darasa la kufundisha watu kufanya uovu wa kimtandao!...
 
Unataka kujua kwa nia ipi, nia njema au ovu? Maana isije ikawa ni darasa la kufundisha watu kufanya uovu wa kimtandao!...
Nataka kujua ili nisiibiwe maana Mimi ni miongoni mwa walioibiwa so nataka nijue mbinu zao ili nisiibiwe tena
 
Mimi mwenyewe ni wakala nimeibiwa pesa kwenye simu yangu ya uwakala, hapa ndio nafuatilia. Naomba pia kujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…