Utapeli kwa njia ya simu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utapeli kwa njia ya simu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mito, Jul 20, 2012.

 1. mito

  mito JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,646
  Likes Received: 2,033
  Trophy Points: 280
  Jamani hivi mbona mimi sijaona umuhimu wa zoezi la usajiri wa namba za simu? manake kila kukicha watu wanatapeliwa, wanaibiwa tu bila wahusika kukamatwa? Hii wizara ya kina makamba na tume ya mawasiliano, police n.k wameshindwa kudhibiti huu utapeli/wizi? mbona tuliambiwa usajili wa simu unalenga kudhibiti vitendo hivi pamoja na hayo mambo sijui ya kutukanana kwenye simu, kutumiana sms za matusi na vitisho n.k?  mods sijui kama nimepost jukwaa husika, mkiona vipi mnaweza kuhamisha
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Until kuna proper identification system kwenye nchi hii hakuna lolote litakalofanyika. Kuanzia serikali ya mtaalamu hadi ikulu. Mtaani kwa elf 5 tu unachukua baru a ya utambulisho wa ukase kwa jail ya mtu aliyepo kazini. Hata Kama nni msomali haijalishi. Na vitambulisho vyenyewe ni kizungumkuti.
   
 3. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ylizia labda usalama wa taifa wale wa ulimboka
   
Loading...